IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Ndo atamuweka yule bodyguard wake au.. maana sikuhizi simuelewi yule bodyguard wake ni kama vile kuna kanafasi hivi atakapata na inaelekea mkuru anamuelewa sana yule bodyguard wake..
Bodyguard ni mtu wa huko rufiji

Ova
 
Acha kuposha uma jeneza la mkapa lilibebwa na Generals hasa Brigedia Generals hukuona vile vidude vyekundu kwenye Kola?

Sasa vijogoo wanavaa kuanzia nani?? Yule Kanali nyuma ya JPM mwenyewe ana kijogoo

Jeneza la mkapa wamebeba makanali na pembeni yao ni Brigedia Generals walikua mistari mi4

515CD13E-9B42-474D-B00F-4D51F5D16DD7.jpeg

Brigedia Generals walikua wanasindikiza tu mstari wa pembeni ila waliobeba ni Colonels
 
Tabia za kutoa watu "kafara" ili kutafuta kiki za kisiasa siyo nzuri.

Mkuu wa nchi kukagua vyoo sokoni is too low, hata kwa waziri wa TAMISEMI bado ndogo kwake

Magufuli anataka kutafuta kura kupitia kiki za kujifanya muwajibishaji

Ni kitu kibaya sana hicho!
Huyo alieulizwa vyoo nimkuu wa wilaya ya Kibiti anaitwa GULAM HUSSEIN SHABAN KIFU, alietenguliwa ni JUMA NJWAYO mkuu wa wilaya ya rufiji jamaa kaambatanisha video kupiga propaganda , video haiendani na utenguzi.
 
Yule sio Bodyguard ni ADC na ADC wa Rais kwa cheo chake ni Kanali sio huyo Lt Kanali

Ndio maana hata Jeneza la Mzee Mkapa limebebwa na Makanali na uzee wao imebidi tu wabebe wakati kuna vijana wanawashikia kofia pembeni na wanasindikizwa na maBrigedia Generali
Mkuu nilichoandika nakijua na najua yupi ni bodyguard na nani sio bodyguard.. sizungumzii yule anaevaaga nguo za jeshi bali yule anaevalia suti au kaunda suti.. naomba niishie hapo
 
Kiukweli Napenda style hii ya kuwajibisha watu. Yaani umateuliwa, unapewa gari V8, 4WD, dereva, mafuta, nyumba ya bure ila shida za wananchi huzitekelezi
 
Mkuu nilichoandika nakijua na najua yupi ni bodyguard na nani sio bodyguard.. sizungumzii yule anaevaaga nguo za jeshi bali yule anaevalia suti au kaunda suti.. naomba niishie hapo

Ndo ana cheo cha Luteni Kanali?

Kweli ishia hapo hapo. Unless useme ulikua huongelei Press Release hiyo hapo

Sema JF nayo wanaunga kila Thread mpaka nyuzi zinakosa maana😡😡
 
Ndo ana cheo cha Luteni Kanali?

Kweli ishia hapo hapo. Unless useme ulikua huongelei Press Release hiyo hapo

Sema JF nayo wanaunga kila Thread mpaka nyuzi zinakosa maana😡😡
Pole mkuu mi nazungumzia yule jamaa mwenye sigda.. mpk hapo utakuwa ushampata achana na yule mwenye kakitambi..😅
 
Pamoja na mapungufu yake mh Rais John Joseph Pombe Maghufuli , nimekua ni shabiki mkubwa sana wa Maghufuli , nampenda vibaya mno kutoka moyoni kama nimemzaa
 
Akakutane na mziki wa Wajumbe [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Hivi unapewaje cheo na nguvu kazi wilayani bado unabaki kuuza maneno. Hapo Mkuranga ilipaswa na DC achangie 3m Cash inunuliwe madawati
 
Back
Top Bottom