IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Unakusanya 1.8Billion+pesa za miradi unashindwa kufanya maintenance ya magari?
Mkuu hio video umeweka hapo ,mbona huyo nimkuu wa wilaya ya kibiti nasi Rufiji?. Au Rufiji ndio wilaya ya kibiti?. Na huyo mkuu wa wilaya ya kibiti anaonekana kwenye video anaitwa GULAM HUSSEIN SHABAN KIFU, alikua mbunge 2000/2005 jimbo la Kigoma kusini kupitia NCCR MAGEUZI hata diploma hana huyo jamaa.@Moderator JamiiForums wekeni taarifa sawa huyu jamaa anapotosha , video haiendani na utenguzi.
 
Ndo atamuweka yule bodyguard wake au.. maana sikuhizi simuelewi yule bodyguard wake ni kama vile kuna kanafasi hivi atakapata na inaelekea mkuru anamuelewa sana yule bodyguard wake..

Yule sio Bodyguard ni ADC na ADC wa Rais kwa cheo chake ni Kanali sio huyo Lt Kanali

Ndio maana hata Jeneza la Mzee Mkapa limebebwa na Makanali na uzee wao imebidi tu wabebe wakati kuna vijana wanawashikia kofia pembeni na wanasindikizwa na maBrigedia Generali
 
Mkuu hio video umeweka hapo ,mbona huyo nimkuu wa wilaya ya kibiti nasi Rufiji?. Au Rufiji ndio wilaya ya kibiti?. Na huyo mkuu wa wilaya ya kibiti anaonekana kwenye video anaitwa GULAM HUSSEIN SHABAN KIFU, alikua mbunge 2000/2005 jimbo la Kigoma kusini kupitia NCCR MAGEUZI hata diploma hana huyo jamaa.@Moderator JamiiForums wekeni taarifa sawa huyu jamaa anapotosha , video haiendani na utenguzi.
We nawe una Diploma ya nini hata suala la video nalo la moderator?
 
Yule sio Bodyguard ni ADC na ADC wa Rais kwa cheo chake ni Kanali sio huyo Lt Kanali

Ndio maana hata Jeneza la Mzee Mkapa limebebwa na Makanali na uzee wao imebidi tu wabebe wakati kuna vijana wanawashikia kofia pembeni na wanasindikizwa na maBrigedia Generali
Acha kuposha uma jeneza la Mkapa lilibebwa na Generals hasa Brigedia Generals hukuona vile vidude vyekundu kwenye Kola?
 
We nawe una Diploma ya nini hata suala la video nalo la moderator?

Nimekueleza huyo mkuu wa wilaya kwenye video hiyo anaitwa GULAM HUSSEIN SHABAN KIFU, na nimkuu wa wilaya ya kibiti nasi Rufiji?. Kwahio video uliyoleta hapa alietenguliwa hayuko kwenye video hiyo. Lengo lako nikupotosha ionekane kuwa anaeulizwa kwenye video hiyo ndio alietenguliwa. JamiiForums ondoeni hio video haiendani na barua ya utenguzi.
 
Yule sio Bodyguard ni ADC na ADC wa Rais kwa cheo chake ni Kanali sio huyo Lt Kanali

Ndio maana hata Jeneza la Mzee Mkapa limebebwa na Makanali na uzee wao imebidi tu wabebe wakati kuna vijana wanawashikia kofia pembeni na wanasindikizwa na maBrigedia Generali
Samahani Mkuu, hivi upo Kikosi gani sikuhizi
 
Nimekueleza huyo mkuu wa wilaya kwenye video hiyo anaitwa GULAM HUSSEIN SHABAN KIFU, na nimkuu wa wilaya ya kibiti nasi Rufiji?. Kwahio video uliyoleta hapa alietenguliwa hayuko kwenye video hiyo. Lengo lako nikupotosha ionekane kuwa anaeulizwa kwenye video hiyo ndio alietenguliwa. JamiiForums ondoeni hio video haiendani na barua ya utenguzi.
Hapa ume reply nini? Usikute hujui hata kusoma
 
Ngoja nikuache we jamaa umekuja kuleta Propaganda, kwenye video uliyoweka mkuu wa wilaya anaitwa GULAM HUSSEIN KIFU, alietenguliwa anaitwa Juma unaona hayo majina yanafanana?. Acha kupotosha
 
Back
Top Bottom