IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

IKULU: Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji

Ila watu wa Rufiji nimewanyooshea mikononkwa kuongea kaaah

Hawa wananchi watamchagua tena Mh. Suleiman Bungara almaaruf Bwege. Watafanya maamuzi mazito kama 'wajumbe' maana wameonesha kukosa uvumilivu wa kuletewa ahadi zisizotekelezwa na viongozi makada wa CCM Mpya.
 
Tabia za kutoa watu "kafara" ili kutafuta kiki za kisiasa siyo nzuri.

Mkuu wa nchi kukagua vyoo sokoni is too low, hata kwa waziri wa TAMISEMI bado ndogo kwake

Magufuli anataka kutafuta kura kupitia kiki za kujifanya muwajibishaji

Ni kitu kibaya sana hicho!
Bwana afya wa eneo husika sijui yuko wapi!
 
Inachoshangaza, kila aingiaye husema nimekuta nchi ipo hoi, nimekuta hiki kipo hovyo, nimekuta wezi wengi...etc LAKINI HAKUNA ANAYESEMA HUO UHOVYO UMESABABISHWA NA NANI..!!!
Kikwete hajawahi kuongea hayo maneno ya taarabu
 
Hiyo Wilaya magari yote mabovu, Mkuu wa Wilaya hana gari, Mkurugenzi Hana gari, DAs hana hana gari.

Sijui kosa la nani hapo.
Mngejua ilivyoshida kupata pesa za kumfanyia service msingekua mnasema......

Wakurugenzi wanatumia hadi pesa zao hii serikali ya kishetani ipo kwa ajili ya kukomoa watendaji wake.

We nani hataki gari itembee na kufanya shughuli zinazotakiwa kufanywa.....

Hii ni serikali ya kukomoana na ukiangalia ujio wa Lissu umempa sn presha sasa ukiunganisha ma mawe ya Kikwete jana Basi anajaribu kuhamisha mjadala lkn haiwezekani........

NI MIHASIRA TU YA HOVYO
 
Pamoja na mapungufu yake mh Raisi John Joseph Pombe Maghufuli , nimekua ni shabiki mkubwa sana wa Maghufuli , nampenda vibaya mno kutoka moyoni kama nimemzaa
Ungempea na nonino kabisa kutimiliza upendo! Watu wengine mnatia kinyaa sana
 
Acha kuposha uma jeneza la mkapa lilibebwa na Generals hasa Brigedia Generals hukuona vile vidude vyekundu kwenye Kola?
Ni kweli wana vijogoo vyekundu shingon'''' lakin vile vidude wanaanzia ma"kanal![emoji41] hla wale wazee waliobeba jeneza ni brigedia wale ...
 
Unakusanya 1.8Billion+pesa za miradi unashindwa kufanya maintenance ya magari?
Kafanya jambo jema.

Lakini akumbuke pia halmashauri nyingi ziko hoi kimapato kwa kupeleka makusanyo yao hazina.
 
Back
Top Bottom