kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Nilikuwa kwenye ujenzi wa chama , akanitaka nifike ofcn kwake nikakuta yuko na mkurugenzi wa wilaya na afisa usalama wa wilaya ...wakanitisha sana sana lkn nikawaambia sioni tatizo wala kosa mm kuijenga chadema ndani ya rufiji..bc nikaondoka zangu kuendelea na chadema ni msingi hadi nikamaliza zoezi japo waliniambia wangenipa kesi ya uwindaji haramuAlikusumbua wakati unafanya shughuli za 'kichama'? Au wewe ni mpinzani?
Nakumbuka Rais mstaafu Mkapa (RIP) alishawahi mwambia AACHE KUSEMA SERIKALI YANGU...hata atakekuja baadae nae atasema 'nilikuta nchi maamuzi ni ya mtu mmoja tu anachoamua ndio hicho. hakutaka kufuata sheria au mifumo iliyopo'
Ndiyo mkuu😅..nafikiri ni 'spot'
Mbona Rais Magufuli hatengui uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Dr. Bashiru alishapendekeza atenguliwe, au kuna viongozi hawaguswi?Rais Magufuli amemteua Luteni Kanali Patrick Kenani Sawala kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani
Luteni Kanali Sawala anachukua nafasi ya Juma Njwayo ambaye uteuzi wake umetenguliwa
Rais Magufuli leo amesikiliza kero za Wananchi katika Wilaya hiyo akiwa njiani kutoka Mtwara ambapo alisimama katika maeneo mbalimbali ikiwemo Ikwiriri
Hata mimi nashangaa. Kwanini mkuregenzi anapona kwa kitendo hiki cha kinyama. Hivyo haya manyani yalienda shule gani? Yaani mtu uko kwenye madaraka unashindwa waza kuwa binadam katika mkusanyiko kama huo wa masokoni ya kwamba wanahitaji vyoo?Mkurugenzi anaponaje hapo, dah
Ambulance ipo, sema tu barabara ni mbovu kuliko maelezo ..kifupi ile wilaya iko nyuma kimiundo mbinuViongozi wa Wilaya ya Rufiji wamekosa majibu ya changamoto ya 'Ambulance'!!
"Au tatizo ni wateule wangu",hii kauli imeondoka na nafasi ya Mkuu wa Wilaýa.
Lakini,inawezekana kuna changamoto zingine ambazo zilikuwepo dhidi ya Mkuu wa Wilaya.
Kumbe nafasi ya Mkuu wa Wilaya,mtu katolewa kafara ili kuwaridhisha wananchiAmbulance ipo, sema tu barabara ni mbovu kuliko maelezo ..kifupi ile wilaya iko nyuma kimiundo mbinu
Yeaaaah Le mubebeeh [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ahahaaaa kweli kabisa mrembo wangu. cheers [emoji482]
Acha kuposha uma jeneza la Mkapa lilibebwa na Generals hasa Brigedia Generals hukuona vile vidude vyekundu kwenye Kola?
Mkuu nilichoandika nakijua na najua yupi ni bodyguard na nani sio bodyguard.. sizungumzii yule anaevaaga nguo za jeshi bali yule anaevalia suti au kaunda suti.. naomba niishie hapo
Haijalishi wote ni makenge tu. Wakuu wa wilaya au wakurugenzi wote ni makenge tu. Hakuna wancho kufanya kwa maslahi ya wananchi. Wanajali matumbo yao tu.aliyetenguliwa n Yule wilaya yake Haina choo au Yule ambaye magar yake n mabovu naona Kuna mchanganyiko kwa watu wengi