assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Zitto na kigogo2014 ndo wanapaswa kujifunza ktuDuh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
DuuuFicha upumbavu wako basi
Ndiyo anaumwa ila hajafa.Mimi nilisema yupo Dar.Wewe ulisema viuingo vyake vya ndani ni vizima kabisa lakini alikuwa hoi bin taabaan! Kumbe uliongopa?
Naomba unisamehe ndugu yangu. Nimefarijika sana kuona kuna ukweli kuwa kipenzi chetu kiko imara. Hakika naenda kula sasa.Ficha upumbavu wako basi
Dah! Yaani naomba mungu nimuone raisi wangu Leo nitakuwa na amanHalleluya,nilisema kuna watu wanakwenda kuaibika leo.
Naona watu wakikana maneno yao, msaliti wa kwanza Zitto kabwe amejishtukia tayari....Ndiyo anaumwa ila hajafa.Mimi nilisema yupo Dar.
Kupo kimya mkuuHalleluya,nilisema kuna watu wanakwenda kuaibika leo.