Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema
Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema
HahahahaAmejikaza sana chuma, subirini vijembe. Ngoja niongeze bundle.
Sema kweli ?Hapo hakuna ukweli. Hiyo ni taarifa ya zamani sasa ipo maktaba.
Mkuu;Duh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Mmoja wapo wewe, na badoHalleluya,nilisema kuna watu wanakwenda kuaibika leo.
Mmeaibika sana aisee....!!Hapo hakuna ukweli. Hiyo ni taarifa ya zamani sasa ipo maktaba.
Mleta mada ni mchawi tuu, TBC ni hicho kipindi mahubiri kinaendeleaSio yeye nabisha