Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,734
Tundu lissu alipigwa risasi katikati ya jiji la dodoma amekaa kitandani karibia miaka miwili anapigana kutetea uhai wake amepata na ukilema alafu anatokea mtu anadai huyo aliyepigwa marisasi amelitelekeza jimbo...tena anajifanya kabisa amesahau na jina lakeMkuu;
Rais Magufuli ajifunze nini?
Kama ni chuki hawezi kuziepuka kwa sababu anaongoza Taifa la watu zaidi ya milioni 50. Hawezi kupendwa na wote anaowaongoza. Hata Mungu na mitume wake wanachukiwa na baadhi ya binadamu.
Kinachotakiwa ni kufanya kile anachokifanya kama anakiamini na muda wake ukiisha wananchi watampima.
Hapo ndo kuna mtu anapewa elimu kuwa ajifunze hivi vyeo vinapita...vipi bado hujaelewa inatakiwa ajifunze nini