Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Acha ujinga basi kwalipi hasa
Kapu la TBC ndio liko hewani
Screenshot_20191020-153112.jpeg
 
....jameni; kwenye YouTube kuna livestream ya Rais kuapisha viongozi aliowateua hivi karibuni. At least that's what it says...

 
Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema

=======

TAARIFA​
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.

Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.

Hiyo nyimbo background mbona inasaundi kama vile Israel mtoa roho kashafanha yale??
 
Back
Top Bottom