Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Lakini upinzani hua wananishangaza sana.. Mwenzio unamuombea vipi kifo.
Kumuombea kifo si afadhali, ukipata nafasi unamtoa uhai, si uliona kilichomkuta Lissu?
Lakini upinzani hua wananishangaza sana.. Mwenzio unamuombea vipi kifo.
Angalia dw ya unerumani. Yupo live berlin.Vipi kashaonekana mkuu?[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15]
Pole Mshana Jr[emoji23][emoji23][emoji23]
Chuki kama hizi ndio matokeo yake haya tunayoyaona.Wachaga mmeumbuka na nia yenu hovu kwa rais wetu mpendwa. rais kabana milija ya wizi wenu ndio maana mlikuwa mnamuombea mabaya.
Hamtakaa mchukue nchi hata mueneze chuki kwa kiasi gani.
***** weweMajizi chadema wana hali mbaya mno
Unafikiri walioshikwa na hofu nibwazushi tu. Romours jama hizi zina atgari kubwa hata kiuchumi. Unajua excgange spot rate kwenye biasgara za kimataifa ilivyoathirika na hizin romours? Huu ni uhujumu uchumi kwa ikulu na kurugenzi kukaa kimyaMkuu punguza jazba ikulu waanze kuhangaika na kujibu habari za kitoto namna hi huo ni ujinga!! Hili tu linatosha kwa watanzania kujifunza na huu ni ulimbukeni wa social media haya mambo sidhani Kama yalikuwepo miaka ya kina nyerere.
Unamaanisha Magu aache siasa za chuki alizoziasisiSiasa za chuki hazina mafanikio..
watajiunga baada ya kumaliza,nadhani shughuli itakua saa kumi alasiriKapu la TBC ndio liko hewaniView attachment 1239231
Nani anataka kupendwa na genge la mafisadi, drugs kingpins, looters na wapumbavu waoWe ndio kiazi kweli, nani unamuona anayetetemeka kwa mfano? Atokee hiyo live asitokee ujumbe umefika kuwa hapendwi mtu bali inapendwa haki.
Anaumwa kusema ukweli. Alipata shambulio la Moyo Hata leo hayupo OK. Ameforce tu.Nilisema jana kilichomrudisha JPM Dar ni wizi kwenye office ya DPP na sio vinginevyo.
Kwa niliyoyasoma siku hizi chache ni wazi mkipata nafasi mtafanya hivyo huku mnalaani mnaowaita Wana roho mbayaKumuombea kifo si afadhali, ukipata nafasi unamtoa uhai, si uliona kilichomkuta Lissu?
Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema
=======
TAARIFAMhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.
Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
Kilicho mtokea lissu kinahusiana vipi na kumtakia mauti rais wetu..Kumuombea kifo si afadhali, ukipata nafasi unamtoa uhai, si uliona kilichomkuta Lissu?