Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

October 20, 2019
Ikulu Dar es Salaam, Tanzania

Live : Mubashara
tutizame kwa macho makini bila kupepesa macho tukapitwa na chochote kitu

Playlist ya nyimbo wakati tunasubiri shughuli ianze inavutia


Source : Ikulu Tanzania
 
Aliyepost hichi yuko wapi?
IMG_20191020_150930.jpg
 
Pumbavu kabisa badala ya kutoa genuine info mnatuwekea propaganda YouTube
Jinga kabisa
Tujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema

=======

TAARIFA​
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.

Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
 
Sio kila upumbavu unajibiwa,ikulu ina kazi nyingi za kufanya kuliko kujibu kila kichaa.
Kwa savabu hawana akili hawajui athari za romoyr jana hizi kisiasa na kiuchumi. Trasactions za nje za Tshs zimeathirija vivaya, Uluza watu wa Benki. Huu ni uhujumu uchumi
 
Wakuu inaonyeshwa channel gani?Mpaka sasa hivi TBC tunaonyeshwa habari ya sokwe wa huko marekani!
 
Kilicho mtokea lissu kinahusiana vipi na kumtakia mauti rais wetu..

Umesema unamuombea vipi mwenzako kifo, nimekuambia adui yako hata ukipata nafasi unamtoa uhai kabisa. Nimekupa mfano wa Lissu maadui zake hata kumuombea kifo waliona wanachelewa wakaamua kumtoa roho kabisa, Mungu akaingilia kati.
 
Back
Top Bottom