Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Dongo.Ikulu tv wanacheza wimbo wa Goodluck Gozbert-Huwezi kushindana[emoji23]
Dongo.Ikulu tv wanacheza wimbo wa Goodluck Gozbert-Huwezi kushindana[emoji23]
Nakeup kidogoHata kutokea bado.
Wewe mchicha mwiba umefufukaFicha upumbavu wako basi
As if Zitto yeye haumwi, au wale wenzake. Very strange.Ndiyo anaumwa ila hajafa.Mimi nilisema yupo Dar.
PUMBAVUDah hili lango la kuzimu limemtemaje huyu ntu? For sure nimekatika maini.
Hata Magu ni mbobezi wa siasa hizoSiasa za wapinzani zipo kwenye mrengo wa kupandikiza chuki kwa wananchi..
Mshana vipi bado tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulifatilia vumi na komenti za watu wakisema rais kafa Nafikiri huna huja ya kuuliza.. watanzania itabidi tujifunze tu social media ni mtambukaNani kasema hayupo?
Hakuna la kujifunza hapo kwa sababu hakuna katika dunia hii ambapo Rais anamaliza muda wake bila watu kupigwa risasi au kufa lakini kikubwa zaidi, hakuna katika dunia hii ambapo kuna siasa safi. Hoja ni uchafu wa aina gani katika siasa!Tundu lissu alipigwa risasi katikati ya jiji la dodoma amekaa kitandani karibia miaka miwili anapigana kutetea uhai wake amepata na ukilema alafu anatokea mtu anadai huyo aliyepigwa marisasi amelitelekeza jimbo...tena anajifanya kabisa amesahau na jina lake
Hapo ndo kuna mtu anapewa elimu kuwa ajifunze hivi vyeo vinapita...vipi bado hujaelewa inatakiwa ajifunze nini
Kivipi?Hata Magu ni mbobezi wa siasa hizo
Najaribu kuwaza. Hivi Makamu Wa Rais awezi kuapisha kwa niaba ya Rais ?
Hapana,hawezi. Hilo ni jukumu la rais pekee na halikaimishwi kwa yeyote. |
Kwa niliyoyasoma siku hizi chache ni wazi mkipata nafasi mtafanya hivyo huku mnalaani mnaowaita Wana roho mbaya
Mimi ni mpinzani lakini napenda Jiwe amalize miaka yake 10 aondoke au basi apoteze kwenye uchaguzi 2020.Lakini sio aondoke kwa style hii!Youtube ikulu mawasiliano.
ameanza kuongea?Ikulu Mawasiliano inaenda 6000 viwers. Haijawahi kutokea. Kila mtu kaenda ongeza MB.