Hata kutokea bado.
Kishakuja.MB zangu zinaisha tu
Kishakuja kasimama,wanaapa.ameanza kuongea?
Kama hawahusiani naye, yeye kama Rais alichukua hatua zipi kuhakikisha wahusika wanapatikana ?Hao waliotaka kumtoa roho wanahusiana vipi na Rais..
Hao waliotaka kumtoa roho wanahusiana vipi na Rais..
Duh hii ni moja ya Jumapili bora za maisha yangu! Mungu tunakushukuru!
Kama hujui international trade basi tuachie. Katika masuala ya biashara za kimataifa suala la uthibitisho sio muhimu. Bei zinaweza kupanda kwa kushukia tu Marekani wataipiga Iran.Ktk huo uzushi kulikuwa na uthibitisho..? Mtu makini hutafuta habari makini na hayumbi kama mlevi,hakukuwa na haja ya kujisumbua ikulu kuanza kujibu upuuzi usiokuwa na uthibitisho.
Yupo kishatokea.Sidhani kama yupo