October 20, 2019
Ikulu Dar es Salaam, Tanzania
Live : Mubashara
tutizame kwa macho makini bila kupepesa macho tukapitwa na chochote kitu
Source : Ikulu Tanzania
Ktk huo uzushi kulikuwa na uthibitisho..? Mtu makini hutafuta habari makini na hayumbi kama mlevi,hakukuwa na haja ya kujisumbua ikulu kuanza kujibu upuuzi usiokuwa na uthibitisho.Unafikiri walioshikwa na hofu nibwazushi tu. Romours jama hizi zina atgari kubwa hata kiuchumi. Unajua excgange spot rate kwenye biasgara za kimataifa ilivyoathirika na hizin romours? Huu ni uhujumu uchumi kwa ikulu na kurugenzi kukaa kimya
Youtube ikulu mawasiliano.Wakuu inaonyeshwa channel gani?Mpaka sasa hivi tunaonyeshwa habari ya sokwe wa huko marekani!
Mkuu hakuna cha kujifunza zaidi ya kakikundi kadogo ka kihuni ambacho hata nyie mnakishabikia huku hamjui yaliyo nyuma ya pazia.Duh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Mungu kasikia maombi yako na Watu wengine, hakika wewe ni mpinzani mwenye hekima sanaHiki kweli ni chuma cha reli.
Kimtandao hicho lazima kitafungiwa tuAkiingia chumba cha mkutano mniite kwa kunitagView attachment 1239237
Aliye kutajia TBC naniKapu la TBC ndio liko hewaniView attachment 1239231
Nani anataka kupendwa na genge la mafisadi, drugs kingpins, looters na wapumbavu wao
Huo upendo mpelekee mkeo
Kumbe na wewe umeona eeeh. Dongo kwa wambea. "HAUWEZI KUSHINDANA NA MWANADAMU MWENYE KINYWA"Hizi nyimbo ni madongo au?
Ni muda wa majina yao kuingia kwenye kitabu cheusi...
Mkuu kuna mtu alidai eti yule mbunge aliyepigwa risasi dodoma mchana kweupe ambaye ni karibia miaka miwili sasa yupo kitandani anapigania uhai wake eti ametelekeza jimbo....vipi huyo hakukushangaza????Lakini upinzani hua wananishangaza sana.. Mwenzio unamuombea vipi kifo.
Hao waliotaka kumtoa roho wanahusiana vipi na Rais..Umesema unamuombea vipi mwenzako kifo, nimekuambia adui yako hata ukipata nafasi unamtoa uhai kabisa. Nimekupa mfano wa Lissu maadui zake hata kumuombea kifo waliona wanachelewa wakaamua kumtoa roho kabisa, Mungu akaingilia kati.
Sio yeye nabisha
Hii taarifa ni njema sana kwetu wapenda maendeleo na wazarendo ila wale waliokua wakisubilia taarifa ya kifo asaiv matumbo yanawauma wanatamani kusikia kifo cha binadamu mwenzao wakiamini ndio mwanzo wa mafanikio yao., Nawapa pole sana # CHUMA bado kipo sanaTujiunge na Ikulu mawasiliano kumuona Jembe,Chuma,Mwamba ,Kamanda,Mzalendo
Kipenzi cha watanzania
Mtetezi wa Watanzania
Kimbilio la watanzania
Mungu mlinde,Umpe Afya njema
=======
TAARIFAMhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.
Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.