Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Mimi naamini maneno ya Mwanakijiji, the man is gone, huyo ni fake,only time will tell.
JK gani unayemuongelea? Maana tuache kuandikoa mate wakati wino upo. Mkapa pekee ndiye aliyeweza kusimamia private sector ikatoa ajira za kueleweka. Kuajiri watu serikalini wasio na kazi za kufanya ni kupoteza muda na kodi za wananchiSerikali ikiwa kubwa ndiyo need ya ajira inakuwa kubwa pia ili kusambaza service mbalimbali. Hivyo jk angekuwa madarakani ndo angeongeza wigo wa ajira mara dufu. Ila kwa vile jpm hana akili ndo hivyo tena
Jk aliajiri walimu wote wa mwaka husika na madaktari wote bila kubakizaJK gani unayemuongelea? Maana tuache kuandikoa mate wakati wino upo. Mkapa pekee ndiye aliyeweza kusimamia private sector ikatoa ajira za kueleweka. Kuajiri watu serikalini wasio na kazi za kufanya ni kupoteza muda na kodi za wananchi
Ajira za walimu zinasumbua?Jk aliajiri walimu wote wa mwaka husika na madaktari wote bila kubakiza
Serikali ndo imezifanya zisiwepoAjira za walimu zinasumbua?
ben saa nane na lissu umewaoba kwenye huu uzi pumba.....wewe, au ndo baba zako na mama zako?Mimi sina shida na Maghufuli kasoro ni issue za Lissu na Ben Saanane. Kama hujui misimamo ya watu humu tuliza mshono.
Kwani siyo watanzania kama mimi na wewe, kumbe wewe haujali wananchi wenzako hadi wawe baba au mama? What a selfish cunt!ben saa nane na lissu umewaoba kwenye huu uzi pumba.....wewe, au ndo baba zako na mama zako?