Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

The hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.

Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM.

Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.

MAGUFURI HAKUBALIKI, believe me nguvu yake inategemea Police, TPDF na NEC
Eti kuuuliwa na kufungiwa leseni jinga kabisa
 
Wananchi wa migodini huko waliokuwa na akili miaka ya 1990 wanajua vile T.Lissu alivyopigania maslahi yao.
It isamka
The hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.

Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM.

Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.

MAGUFURI HAKUBALIKI, believe me nguvu yake inategemea Police, TPDF na NEC
Achana na ndoto za mchana
 
Umeharibu kuingiza mambo ya ukanda na ukabila ,,kwa maana hiyo wewe ni mpumbavu ! Na kweli wewe ni mpambavu sana ! Kuminya vyombo vya habari na kupata kura 10 asilimia inahusiana vipi ? Halafu ma wewe unajiita mchambuzi what an embicile , kwani ahadi ilikuwa ni huo ujinga wako unaotaka kutuaminisha?

Yeye hakuahidi mambo ya hovyo hivyo na kwa maana hiyo atawakomesha hadi muote vipara na upumbavu wenu wa kutofikiri vzr,,,, mnajifanya hamuoni kazi inayofanyika mnabaki kulalamika kwa kutafuta huruma!

Hamna hata means ya kuondoa hizo challenge mnalia tu
Ukiona mtu anakuja kwa matusi badala ya takwimu usimjibu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye... Mithali 26:4
 
Eti kuuuliwa na kufungiwa leseni jinga kabisa
Hujui nani alimuua BenSanane, Azory Gwanda na hujui nani alimtuma Bashite kumshambulia Lissu?

Hujui The Citizen imewahi kufungiwa? Hujui Mawio na Mwanahalisi zilifungiwa?

Ukipata majibu utajua nani mjinga kati ya mimi na wewe?
 
Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.
Baba wa umoja wa taifa hili tunaambiwa ni Nyerere, unafahamu kuna watu walipanga mara kadhaa auawe?!
 
hoja zimekuishia umerudi kwenye mipasho hahahaa, mmeumbuka vibaya mno
kafatilie na hiyo halafu useme hapendwi, labda hapendwi na familia yako tu

Endele kufunika kichwa kwenye mchanga huku makalio yako wazi kama mbuni.
 
Then nyamaza maana unajichosha kwa kulalamika
Ninyamaze !! Kwani unanilipia bundle? Ondoa Ukerewe wako hapa, kama umeondoa ubongo wako kwenye mambo ya wazi kama haya wewe ni tabular rasa. Uko sawa na zamani wa kisiwa cha Nansio.
 
hoja zimekuishia umerudi kwenye mipasho hahahaa, mmeumbuka vibaya mno
kafatilie na hiyo halafu useme hapendwi, labda hapendwi na familia yako tu

Mimi sina shida na Maghufuli kasoro ni issue za Lissu na Ben Saanane. Kama hujui misimamo ya watu humu tuliza mshono.
 
Baba wa umoja wa taifa hili tunaambiwa ni Nyerere, unafahamu kuna watu walipanga mara kadhaa auawe?!
Kipindi kile mambo ya kupinduana yalikuwa yametapakaa kwenye nchi nyingi tu za Africa mara baada ya kupata uhuru.

Kila zama na kitabu chake.
 
Ndio hivyo, kaeni mkijidanganya kwamba kuna siku mtaingia ikulu

Mtabaki kuiona kwenye YouTubers tu huku mkijifariji mmeibiwa kura wakati watanzania hawawatambui

2020 mkiingiza mbunge hata mmoja bungeni natembea uchi
Hapo mwisho umeandika uafrika wako wa kiwango cha juu kabisa.
Namimi nakujibu kwa uafrika "sasa unaahidi kutembea uchi je una chura?"
 
Back
Top Bottom