Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ila uso wake ulikuwa umekata tamaa aisee.
IFIKE POINT APUNGUZE MAAMUZI YA MIHEMKO AMBAYO HUUMIZA RAIA WAKE
Kimsingi mzee yuko exhausted na safari za barabarani na hasira za madudu ya watendaji.
Anahitaji kupumzika.
Yaliyosemwa NUSU YANA ukweli japo CHUMVI nyiingi iliongezwa pia
 
Rais Magufuli hajui kuwa hajui.
Kwa haiba na ksliba yake ametengeneza mfumo mbovu wa kundi la wanyanyassji na wadhalilishaji watumishi.
Abadilike
Ila uso wake ulikuwa umekata tamaa aisee.
IFIKE POINT APUNGUZE MAAMUZI YA MIHEMKO AMBAYO HUUMIZA RAIA WAKE
 
Sifa mojawapo ya wafamaji ni kutapatapa.

Mfamaji akiwa majini [kwenye maji], chochote kilicho katika uono wa macho yake, atajitahidi akishike kwa matumaini ya kwamba labda kinaweza kumnusuru asife maji.

Baada ya hayo machache, bila kuweka wala kuleta ajizi, ujumbe huu ni kwa wale walio na chuki isiyo na maelezo yawezayo kuingia akilini mwa mtu mwenye akili.

Baada ya uzushi wao kubuma, nyuso zao zimewashuka na wameishia kuhamisha magoli.

Kwa siku takribani tatu, watu hawa wenye mioyo ya kutu, walijiaminisha kuwa uzushi wao ndo ukweli.

Wakawa wanaandika kwa furaha na bashasha tele kwamba yule wamchukiaye, sasa hatunaye tena.

Hamad! Majuzi ile baada ya mwenyewe kujitokeza na kuendelea kutimiza majukumu yake ya kikatiba, wafamaji wakaanza yao tena.

Eti ooh...mbona mtu mwenyewe kapooza sana...ooh mbona alikuwa anaongea kinyonge. Ooh sijui nini...

Hata angefanyaje, wasingekosa ya kusema.

Angeongea kwa ari na jazba, wangesema anajilazimisha tu kufanya hivyo ilhali ni mgonjwa.

Kaongea kwa utulivu, napo wanasema tu. Eti alikuwa vile kwa sababu ni mgonjwa kweli.

Dawa ya wafamaji ni kuwaacha wafe tu. Wazame katika kina kirefu cha majungu na uongo wao.

Maji ya shingo tapatapa wafamaji.

Majungu na uzushi ndio elimu ya mjinga.
 
Sifa mojawapo ya wafamaji ni kutapatapa.

Mfamaji akiwa majini [kwenye maji], chochote kilicho katika muono wa macho yake, atajitahidi akishike kwa matumaini ya kwamba labda kinaweza kumnusuru asife maji.

Baada ya hayo machache, bila kuweka wala kuleta ajizi, ujumbe huu ni kwa wale walio na chuki isiyo na maelezo yawezayo kuingia akilini mwa mtu mwenye akili.

Baada ya uzushi wao kubuma, nyuso zao zimewashuka na wameishia kuhamisha magoli.

Kwa siku takribani tatu, watu hawa wenye mioyo ya kutu, walijiaminisha kuwa uzushi wao ndo ukweli.

Wakawa wanaandika kwa furaha na bashasha tele kwamba yule wamchukiaye, sasa hatunaye tena.

Hamad! Majuzi ile baada ya mwenyewe kujitokeza na kuendelea kutimiza majukumu yake ya ku katiba, wafamaji wakaanza yao tena.

Nawe umeamua kuwa kama mivaa dela umbea tu .Unatofaut gan na hao unaowasema zaid ya kulikuza tu jambo lililopita ? Achana na mambo ya kiswahili wew msukuma
 
Swali je mh anaumwa au???, lakini simba na yanga huwa haziombeani mema MKUU!!!. Tunaonaga mpaka majeneza uwanjani!!!! Afu hata naibu supika alimzika sijui meenyekiti au nani vile kule mbeya pamoja na bendera ya chedema!!!.
 
Hata kama anaumwa au alikuwa anaumwa, so what?

Nani ambaye hajawahi kuumwa?

Vyovyote vile, kilicho dhahiri shahiri ni kwamba, hali yake si kama wale wafamaji walivyotaka kutuaminisha.
 
Sifa mojawapo ya wafamaji ni kutapatapa.

Mfamaji akiwa majini [kwenye maji], chochote kilicho katika muono wa macho yake, atajitahidi akishike kwa matumaini ya kwamba labda kinaweza kumnusuru asife maji.

Baada ya hayo machache, bila kuweka wala kuleta ajizi, ujumbe huu ni kwa wale walio na chuki isiyo na maelezo yawezayo kuingia akilini mwa mtu mwenye akili.

Baada ya uzushi wao kubuma, nyuso zao zimewashuka na wameishia kuhamisha magoli.

Kwa siku takribani tatu, watu hawa wenye mioyo ya kutu, walijiaminisha kuwa uzushi wao ndo ukweli.

Wakawa wanaandika kwa furaha na bashasha tele kwamba yule wamchukiaye, sasa hatunaye tena.

Hamad! Majuzi ile baada ya mwenyewe kujitokeza na kuendelea kutimiza majukumu yake ya ku katiba, wafamaji wakaanza yao tena.

Eti ooh...mbona mtu mwenyewe kapooza sana...ooh mbona alikuwa anaongea kinyonge. Ooh sijui nini...

Hata angefanyaje, wasingekosa ya kusema.

Angeongea kwa ari na jazba, wangesema anajilazimisha tu kufanya hivyo ilhali ni mgonjwa.

Kaongea kwa utulivu, napo wanasema tu. Eti alikuwa vile kwa sababu ni mgonjwa kweli.

Dawa ya wafamaji ni kuwaacha wafe tu. Wazame katika kina kirefu cha majungu na uongo wao.

Maji ya shingo tapatapa wafamaji.

Majungu na uzushi ndo elimu ya mjinga.
Mimi nimemisi kujimwambafy
 
Back
Top Bottom