Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwamwambie mwenyewe. Au unamwogopa?Mwambie alipe hela za korosho, si unaona zinavyomtesa.
Manake wengi wenu ujasiri wenu ni kwenye mtandao tu.
Kwamwambie mwenyewe. Au unamwogopa?Mwambie alipe hela za korosho, si unaona zinavyomtesa.
NAZIRAILI MTOWA ROHO PIA AKIJA MPINGEMpaka kufika ijumaa ya week iliyopita, hakuna mwanasiasa wa Tanzania niliyekuwa namkubali na kumpenda kama Zitto Kabwe. Lakini kwa namna alivyoshabikia uzushi juu ya afya ya JIWE nimemdharau sana na kumshusha. Sitaki hata kumsikia. Najuta kujitangaza kama mwanaACT kindaki ndaki na suppoter wa Zitto nikiwa chuoni. Kwa sasa nitampinga nikiwa JF, DAR, KIGOMA,KASULU MPAKA MANYOVU KWETU.
Rebecca 83 samahani, hivi huyu nyani huwa mwanamke? Kama una fununu na jinsia yakeMkuu siku hizi hauko objective,mipasho tuuu...
Tanzania haiwezi kupiga hatua mbele za maendeleo ukiwachekea chekea watu.
Ww jamaa mnafiki sana... Leo hii umegeuka tena wakat ulikuwa unafurahia watangaze taarifa mbaya kwa raisi.Ila Sometime uwa nasema wacha Magufuli awashugulikie Watanzania ukiwachekea sana unavuna mabua..
Hatuwezi kuruhusu tena lile genge hatari(mtandao) kwenda Ikulu Never.
Kwa kuharibu nchi au. Ajira hakuna, wafanyakazi hawapandushwi mishahara, wawekezaji wanakimbia nchi imekuwa dampo.JPM amewakaba kila kona, hawana agenda kabisa
Kwa kuharibu nchi au. Ajira hakuna, wafanyakazi hawapandushwi mishahara, wawekezaji wanakimbia nchi imekuwa dampo.
Ila Sometime uwa nasema wacha Magufuli awashugulikie Watanzania ukiwachekea sana unavuna mabua..
Hatuwezi kuruhusu tena lile genge hatari(mtandao) kwenda Ikulu Never.
Sisi tunastrugle hili lijamaa life ili nchi iwe swhari. Vijana wapate ajira kama zamani na maisha yawe Bora tena kwa wafanyakazi kama zamani na wakulima piaMtandao umetuletea matatizo yasiyokoma. Yes tuna shida lakini tusiruhusu mtandao ukaikwaa tena nchi
Ajira wapi? Serikalini? Kwani leo nani amekataza kuajiri?Sisi tunastrugle hili lijamaa life ili nchi iwe swhari. Vijana wapate ajira kama zamani na maisha yawe Bora tena kwa wafanyakazi kama zamani na wakulima pia
Si li jpm limegoma kabisa kuajiri. Wakati wengine kama akina jk walikuwa wanaajiriwa na ajira zilikuwa za kumwaga enzi zake na wafanyakazi walipandishwa mishahara kila mwaka. Hili linatafuta tu sifa binafsi basi halijali maisha ya watu kabisaa. Ndo Mana tunaliombea lifeAjira wapi? Serikalini? Kwani leo nani amekataza kuajiri?
Hata kama anaumwa au alikuwa anaumwa, so what?
Nani ambaye hajawahi kuumwa?
Vyovyote vile, kilicho dhahiri shahiri ni kwamba, hali yake si kama wale wafamaji walivyotaka kutuaminisha.
Ngabu kwani Zitto ni mtani wako mpaka umpachike huo ugonjwa?Anasumbiliwa na nini? Bawasiri au ngiri?
Serikali kila mwaka inaajiri inafanya biashara gani? Tena yenye faida kiasi hicho? Nafikiri Ajira lazima ziendane na mahitajiSi li jpm limegoma kabisa kuajiri. Wakati wengine kama akina jk walikuwa wanaajiriwa na ajira zilikuwa za kumwaga enzi zake na wafanyakazi walipandishwa mishahara kila mwaka. Hili linatafuta tu sifa binafsi basi halijali maisha ya watu kabisaa. Ndo Mana tunaliombea life
Kwani jk yeye alikuwa anafanya biashara gani! Mbona aliajiri kila mwaka walimu wote na madaktari. Ni mipingo tu na uchungu was watu unaowaongoza na akili kubwa. Jpm akili Ni kisodaSerikali kila mwaka inaajiri inafanya biashara gani? Tena yenye faida kiasi hicho? Nafikiri Ajira lazima ziendane na mahitaji
Serikali imekuwa kubwa sana na kuna watu hawana cha maana wqnachofanyaKwani jk yeye alikuwa anafanya biashara gani! Mbona aliajiri kila mwaka walimu wote na madaktari. Ni mipingo tu na uchungu was watu unaowaongoza na akili kubwa. Jpm akili Ni kisoda
Serikali ikiwa kubwa ndiyo need ya ajira inakuwa kubwa pia ili kusambaza service mbalimbali. Hivyo jk angekuwa madarakani ndo angeongeza wigo wa ajira mara dufu. Ila kwa vile jpm hana akili ndo hivyo tenaSerikali imekuwa kubwa sana na kuna watu hawana cha maana wqnachofanya