Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

acha uongo wako, mtaani kwako wewe ni hapa jf, hujaingia mtaani au hata huko vijijini wengi hawana simu wala hawakujua hiyo habari...ila ingia youtube uone wanavyompenda...ndo uje na porojo za uongo.
Endele kufunika kichwa kwenye mchanga huku makalio yako wazi kama mbuni.
 
Waliosheherekea ni Wahuni wachache tu tena unaweza kuwahesabu na ukawamaliza , wapo twitter na hapa jf

Ila majority walikuwa wanamuombea mazuri Jpm

Ni sawa na uchaguzi ,mitandaoni huwa upinzani wanashinda kwa 90% , kwenye uhalisia huwaoni hata kupiga kura
Hawajiandikishi wala hawapigi kura
 
Waliosheherekea ni Wahuni wachache tu tena unaweza kuwahesabu na ukawamaliza , wapo twitter na hapa jf

Ila majority walikuwa wanamuombea mazuri Jpm

Ni sawa na uchaguzi ,mitandaoni huwa upinzani wanashinda kwa 90% , kwenye uhalisia huwaoni hata kupiga kura
Kwa nini inakuwa nongwa sana akiugua huyo rais wenu, kwani kuna ubaya ubaya gani kama angemfuata Akwilina ?
 
Kumbe maelfu tu, mimi nilifikiria wametushinda sisi Mamilioni ya Watanzania tuliosherehekea kwa kuchinja Mbuzi na Kuku
 
Huo utafiti umefanya saa ngapi?
IMG_20181023_183628.jpg

Mbona hilo lipo wazi?
 
Kimsingi mzee yuko exhausted na safari za barabarani na hasira za madudu ya watendaji.
Anahitaji kupumzika.
Yaliyosemwa NUSU YANA ukweli japo CHUMVI nyiingi iliongezwa pia
We kauli za kuombea ufe na watu wengine walishanunua ma kreti ya bia kushangilia kifo chako utakuja ukiwa na furaha kama siku zote.HILI JAMBO RAIS WETU LAZIMA ALIOTE LEO.
 
Hivi unajua mpaka sasa hivi pamoja na hao wenye simu 90% hawamjui Katibu mkuu wa chadema?
Mkuu mpaka saivi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema haijasimamisha wagombea karibu Tanzania nzima, wananchi kwenye kura za maoni za CCM ni wengi utafikiri ndio uchaguzi rasmi

Upinzani wapo mitandaoni tu tena jf
YouTube hakuna upinzani kabisa
Facebook hakuna wapinzani kabisa
Instagram hakuna wapinzani kabisa
Twitter ndio wapo 40% upinzani 60% CCM
 
Make reference to the post I quoted. Usikurupuke tu.
Ndio hivyo, kaeni mkijidanganya kwamba kuna siku mtaingia ikulu

Mtabaki kuiona kwenye YouTubers tu huku mkijifariji mmeibiwa kura wakati watanzania hawawatambui

2020 mkiingiza mbunge hata mmoja bungeni natembea uchi
 
Kimsingi mzee yuko exhausted na safari za barabarani na hasira za madudu ya watendaji.
Anahitaji kupumzika.
Yaliyosemwa NUSU YANA ukweli japo CHUMVI nyiingi iliongezwa pia
Lile lilikua ni mission ya TISS hakuna ukweli wowote kutoka kwa zombies zaidi ya porojo
 
UKITAKA KUJUA RAIS ANAPENDWA NENDA KAANGALIE INSTAGRAM KWENYE PAGE MBALIMBALI KAMA ZA KINA MSIGWA, IKULU MAWASILIANO, WATU WAMEFURAHI SANA RAIS KUONEKANA NA WENGI WANASEMA WALISHINDWA KULA NA KULALA KWA KIWEWE RAIS ANAUMWA. MAGUFULII ANAPENDWA NA ATAENDELEA KUPENDWA MPAKA MWISHO DUNIA, VIZAZI NA VIZAZI VITASOMA HABARI ZAKE NA WATAMPENDA HATA KAMA HAWATAMKUTA
The hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.

Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM.

Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.

MAGUFURI HAKUBALIKI, believe me nguvu yake inategemea Police, TPDF na NEC
 
Umeharibu kuingiza mambo ya ukanda na ukabila ,,kwa maana hiyo wewe ni mpumbavu ! Na kweli wewe ni mpambavu sana ! Kuminya vyombo vya habari na kupata kura 10 asilimia inahusiana vipi ? Halafu ma wewe unajiita mchambuzi what an embicile , kwani ahadi ilikuwa ni huo ujinga wako unaotaka kutuaminisha?

Yeye hakuahidi mambo ya hovyo hivyo na kwa maana hiyo atawakomesha hadi muote vipara na upumbavu wenu wa kutofikiri vzr,,,, mnajifanya hamuoni kazi inayofanyika mnabaki kulalamika kwa kutafuta huruma!

Hamna hata means ya kuondoa hizo challenge mnalia tu
 
Back
Top Bottom