Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

acha uongo wako, mtaani kwako wewe ni hapa jf, hujaingia mtaani au hata huko vijijini wengi hawana simu wala hawakujua hiyo habari...ila ingia youtube uone wanavyompenda...ndo uje na porojo za uongo.
Weka post yangu moja tu ya kufurahia.

Mimi nimeona watu wa kutosha tu na mitaani pia nimesikia na kushangazwa. We endeleza upumbavu wako.
 
UKITAKA KUJUA RAIS ANAPENDWA NENDA KAANGALIE INSTAGRAM KWENYE PAGE MBALIMBALI KAMA ZA KINA MSIGWA, IKULU MAWASILIANO, WATU WAMEFURAHI SANA RAIS KUONEKANA NA WENGI WANASEMA WALISHINDWA KULA NA KULALA KWA KIWEWE RAIS ANAUMWA. MAGUFULII ANAPENDWA NA ATAENDELEA KUPENDWA MPAKA MWISHO DUNIA, VIZAZI NA VIZAZI VITASOMA HABARI ZAKE NA WATAMPENDA HATA KAMA HAWATAMKUTA
Huo ndio ukweli. Wapuuzi wachache walipoachwa wakajitawala kwenye zile post zao za kijinga basi wakajiona ndio wamemaliza research na kuja na conclusion kuwa Rais anachukiwa. Shame on them
 
UKITAKA KUJUA RAIS ANAPENDWA NENDA KAANGALIE INSTAGRAM KWENYE PAGE MBALIMBALI KAMA ZA KINA MSIGWA, IKULU MAWASILIANO, WATU WAMEFURAHI SANA RAIS KUONEKANA NA WENGI WANASEMA WALISHINDWA KULA NA KULALA KWA KIWEWE RAIS ANAUMWA. MAGUFULII ANAPENDWA NA ATAENDELEA KUPENDWA MPAKA MWISHO DUNIA, VIZAZI NA VIZAZI VITASOMA HABARI ZAKE NA WATAMPENDA HATA KAMA HAWATAMKUTA
We kama unampenda mpe basi
 
Tatizo la jiwe Ameamua kuprove wrong hapo anajikaza tu

Ila huu ubishi wake hapana aisee ipo siku ataprove wrong aanguke apotee milele
 
Waliosheherekea ni Wahuni wachache tu tena unaweza kuwahesabu na ukawamaliza , wapo twitter na hapa jf

Ila majority walikuwa wanamuombea mazuri Jpm

Ni sawa na uchaguzi ,mitandaoni huwa upinzani wanashinda kwa 90% , kwenye uhalisia huwaoni hata kupiga kura
 
Acha kujifariji!!
 
Huo utafiti umefanya saa ngapi?
 
NI wapumbafu wachache ambao waatangulia na kumuacha jembe
 
Back
Top Bottom