Weka post yangu moja tu ya kufurahia.ulifurahia wewe na timu yako, acha uzushi hapa, sijui saa izi utakuwa unajisikiaje?
Haya Vicky nchimbi ulivyoligema utalinywa
Mathias kateuliwa Jana Leo kuapishwa kuwa balozi, wapi na wapi? Mbona Kipilimba bado?Huiamini serikali yako kabisa.
ila hata wewe hauna tofauti na kigogo wote ni pambas tuYupo mzima. Si unaona huyo Kigogo wenu anavyofeli.Leo kafeli tena. Mwambieni awaonyeshe kaburi la Nyaulingo.
Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.Mkuu wangu Mushi, nitajie taifa moja unalolifahamu lenye huo umoja unaoutaka.
Sasa unanibishia mimi kitu nimesikia kabisa watu wakifurahia kuwa amekufa? Eti mitandaoni tu.Sio kweli. Mtaani na huku mtandaoni ni dunia mbili tofauti.
wanaJF eti leo wote wako na Magufuli..unafiki utatuua watanzania
👌🏽💯
Nilikumisi humu nimefurahi kusoma uzi wako bombaaaa.. umewachomesha sindano za kutosha
Mkuu bila figisu Jiwe anaweza angukia pua.Alisoma alama za nyakati ndio akapiga stop wapinzani kufanya siasa.Jiwe na CCM yake hawana uhakika 100% kushinda kwenye ballot box.Mambo ni 50\50.Lakini hata km akijiweka ni bora kuliko life kuwa shortened!Apoteze urais 2020 kwa nani? Kwa zito mchumiia tumbo au kwa upinzani upi? Mkuu we endelea tu kuwatafutia kinda wako chukula na mengineyo hiyo habari ya 2020 ni tutafuata tu itifaki ya kisiasa (uchaguzi) kumrasmisha tu mkulu. Kama ingekuwa inawezekana hzo gharama za uchaguzi tungezipeleka tu kwenye sgr au miradi mingine ya maendeleo.
TAARIFA
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.
Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
====
UPDATES: 1600hrs
Rais John Magufuli amewaapisha Mathias Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, Godfrey Mweli kuwa Naibu Katibu Mkuu Tamisemi na Ali Sakila kuwa Balozi leo Oktoba 20 Ikulu jijini Dar
Rais Magufuli: Niwapongeze sana viongozi niliowaapisha leo hii, nendeni mkafanye kazi, katimizeni majukumu yenu kwa weledi”
Rais Magufuli: Muende mkawatumikie Watanzania bila kumuonea mtu kwa kadri Mungu wenu atakavyowaongoza. Kabunduguru wewe umefanya kazi sehemu nyingi, Utumishi na TAMISEMI naamini kwenye Mahakama utatusaidia sana
Rais Magufuli: Kaendeleze mazuri yanayofanywa na Mahakama. Mahakama inafanya kazi nzuri na imekuwa kimbilio la Wananchi wengi - Balozi Ally kaendelee na kazi zako. Kwa ufupi mkafanye kazi zenu vizuri kwa kwenda kuwatumikia watu
Rais Magufuli: Brigedia Jenerali wa TAKUKURU anafanya kazi vizuri. Kwenye Vyama vya Ushirika huku wakulima walikuwa wanadhulumiwa - Viongozi 99 wamekamatwa na Tsh. Bilioni 1.2 zilikuwa kwa viongozi wa AMCOS. Brigedia ameniambia lakini hadi sasa zimerejeshwa Milioni 255
Rais Magufuli: Kazi ya uongozi ni kusimamamia Haki, kufuata Sheria bila kumuonea mtu yeyote. Unaweza kusemwa vibaya ila wewe endelea na kazi - Si wote watakupenda ila tufanye kazi. Kwa ujumla nawashukuru wote, Mama Samia na kila mtu katika Utumishi wenu
View attachment 1239386
View attachment 1239388
View attachment 1239385
View attachment 1239387
Mavi mutupuDuh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Kuzushiwa kifo na watu walivyokuwa wakishangilia unadhani tuna Taifa moja tena?
Wengi waliokuwa wakifurahia kwamba amekufa, walitoa sababu za wale mashabiki wake kufurahia mateso ya Lissu na walofurahia kupotezwa na inasemekana kuuwawa kwa Ben Saanane!
Hamkani mambo siyo shwari tusidanganyane!
Mabu.ttock yenuWewe ndio juha namba moja....tutaendelea kuomba Hadi Mungu atendee!
Kufa kabisa..kaburi ambalo angezikwa uzikwe wewe!Dah hili lango la kuzimu limemtemaje huyu ntu? For sure nimekatika maini.
uko sawa mukuuMungu akupe Maisha marefu Mr. President Watanzania wazalendo tuko nyuma yako...
Msaliti wa Kwanza Zitto kabwe amejishtukia mapema...
Mkuu hii ni kweli au radio Mbao?Magufuli ana matatizo ya moyo kuanzia akiwa na miaka 30 alipokuwa waziri aliwekewa kifaa cha pacemaker kuhakikisha mapigo ya moyo yako sawa alifanyiwa hii German. Sasa ndiyo maana tunapendekeza sana kuwekwe mifumo maana huwezi kumtegemea mtu mmoja mwenye matatizo makubwa hivi ya afya. Technology itaongeza muda lakini moyo unachoka nao siku zinavyokwenda. Nashauri tu Magu aweke mifumo imara akimaliza miaka mingine mitano tutamshukuru Mungu lakini Mifumo ni muhimu
Mbona hata lissu alivypigwa kuna watanzania wengi huko vijijini walifurahi sana, walifanya party, wananchi wa pembezoni mwa migodi ya Barrick walipiga vigelegeleSasa unanibishia mimi kitu nimesikia kabisa watu wakifurahia kuwa amekufa? Eti mitandaoni tu.
Ndiyo anaumwa ila hajafa.Mimi nilisema yupo Dar.