Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Nyie wazushi si mlisema amepelekwa UJERUMANI ; sasa amerudi kwa UNGO kuja kwaapisha wakina Mweli? Acheni hizo Mungu anawaona!!!
Sijasema alipelekwa Ujeruman,tafuta post yangu mahali nimesema amepelekwa Ujeruman.
 
Jamani huyu mbona shavu lake la kushoto kubwa kuliko la kulia?!mie sikubali,turudishieni Magu wetu o.g bado yuko huko Jeremane anatibiwa!😔😂🎃
 
Lawama zote ni kwa msemaji wa serikali kwani angekuwa sharp kuuarifu umma leo hii kusingekuwa na mjadala huu
Hili hata mimi nawalaumu sana, watu wamekaa kwenye taharuki kubwa kwa masaa kadhaa wasijue nini kinaendelea.

Kipi kiliwashinda kujitokeza kama ilivyofanyika leo na wapika uongo wakaumbuka?

Lakini kwa upande mwingine nashukuru ukimya wao umewaonyesha watu ni kiasi gani wanawaamini watu wazushi na wasiofaa kuaminiwa.
​
 
ukiua kwa panga utauwawa kwa panga,same alivyomtakia kifo lissu ndivyo watu wengine wanavyomtakia yeye,
Kwa hiyo unamaanisha kwa kuwa halijatimia walilotaka wao basi naye aje ashughulike nao atakavyoona inafaa?

Kwa mawazo hayo ni ngumu sana hata kupasiana vijiti vya uongozi kwa vyama vingine maana wanawaza wakipata nao wawashughulikie waliopata, nani yuko tayari kushughulikiwa?

Tusipende sana kulipiza, kama wao wanaamini yeye ndiye aliyepanga njama kwa Lisu basi wamshukuru Mungu pia maana Lisu bado yupo na wanatakiwa wamwombee aliyepanga tukio hilo aishi ili aone ukuu wa Mungu kwa Lisu.
Hata mimi tukio la Lisu lilinisikitisha sana na nampenda Lisu na namwombea mema kwa Mungu japo sijui nani alipanga tukio hilo.

Lakini pia nampenda rais wetu na namwombea afya njema na Mungu azidi kumlinda zaidi!
Ushinde ubaya kwa wema
 
Wewe endelea kufuatilia udaku wa kigogo wakati wenzio wako field tayari kwa uchaguzi
Lawama zote ni kwa msemaji wa serikali kwani angekuwa sharp kuuarifu umma leo hii kusingekuwa na mjadala huu
 
The way he talks kuna shida....aendelee kumtanguliza huyo Mungu anayemsema then aje pia ajitafakari kwa nini hii hali imekuwa kwake hasa wakati huu ambao haijajulikana if he is stable healthly or not.

Ajitafakari why people are really tired of him and his system!?
 
Nakubaliana na wewe kabisa!
Kwa nini waache nyuzi za uzushi kama hizo ziendelee kufunguliwa bila kuwa na taarifa kamili wakijua taarifa hizo zinaleta raharuki kwa wananchi?
Kama ni hatua hawa walitakiwa nao wawajibishwe! Haiwezekani forum hii ikawa kijiwe cha kuleta taharuki kwa wananchi.
Nyau we hakuna aliyetaharuki watu walizizima kwa shangwe
 
Ngoja nikapige vyombo kwa raha zangu. Baada ya kutoka church,saa 2.00, nilikuwa home tu. Wote tupo tu,sikutaka yeyote atoke,nikifuatilia mitandao.
 
Nakubaliana na wewe kabisa!
Kwa nini waache nyuzi za uzushi kama hizo ziendelee kufunguliwa bila kuwa na taarifa kamili wakijua taarifa hizo zinaleta raharuki kwa wananchi?
Kama ni hatua hawa walitakiwa nao wawajibishwe! Haiwezekani forum hii ikawa kijiwe cha kuleta taharuki kwa wananchi.
Ni wapuuzi sana mkuu! Yani Max na akili zake zote ameshindwa kabisa kuona kwamba ile ilikuwa kosa? Alafu anajua kabisa kwamba yuko mawindoni alafu anamwachia adui mlango wazi?
 
Acha kabisa kiongozi. Mijitu tuliiambia tangu juzi kuwa uongo na uzushi ni kitu kibaya sana,haikuelewa.Haya sasa, mipuuzi yote imeumbuka kwa uprofessional wao wa uzushi.

Kuna mijnga sana ya uzushi.
Hii nimekuta Twitter, " Vile Kigogo anavyo waona wafuasi wake "

Hahah
IMG_20191020_171833.jpeg
 
Hii haina roho ya kwanini maana haikai na MTU bila kuwa na vigezo vya kuwa na roho mbaya nmesoma baadhi vifungu ktk katiba
 
Back
Top Bottom