kuna watu watasema hii video ni ya maktaba.
Alo kufa nan!!Wewe mchicha mwiba umefufuka
Yupo kishatokea.
........Here we go....Watanzania Wote Muda Huu Wamefurahi Kumuona Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akiwa Tayari Na Afya Mwenye Afya Njema Muda Wote
Kimya Kingi Sana Kina Mshindo Mkuu
TAARIFA
Mhe. Rais Magufuli leo tarehe 20 Oktoba, 2019 atawaapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Balozi.
Hafla ya uapisho huo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 9:30 alasiri hii. Itarushwa mubashara kupitia Redio, Televisheni na Mitandao.
Hili limeshazoeleka hata kina Trump hufanya matukio maksudi ili kuathiri uchumu.. lkn kwa uvumi wa kitoto namna hii ikulu wafanye Yao tu ni upuuzi.Kama hujui international trade basi tuachie. Katika masuala ya biashara za kimataifa suala la uthibitisho sio muhimu. Bei zinaweza kupanda kwa kushukia tu Marekani wataipiga Iran.
Hahahaha daah kuna watu jmn
Atakufa tu,hata Kama Siyo leo, jinga weweSafi Sana waliokuwa wakitaka afe,hafi!! Mzee wa watu endelea kukaza mambo yawe mambo hakuna namna.