Furaha niliyonayo leo hata Man Utd akifungwa 10-0 na Liverpool hapo baadae sijaliSiku ya leo nimefurahi sana, bomba sana Rais anachapa kazi.
Majizi chadema wana hali mbaya mno
Mungu ni mwema siku zote ,mungu ampe maisha marefu daima ,agonge miaka 100 ,
Hana maisha marefu labda Kama ulimuumba weweMungu akupe Maisha marefu Mr. President Watanzania wazalendo tuko nyuma yako...
Msaliti wa Kwanza Zitto kabwe amejishtukia mapema...
TUNAFURAHI MH. KUJA ILA TUSEME UKWELI HUYU SI MAGUFULI TUNAYEMJUA ANAUMWA TUMUOMBEE SANA
Mpaka aje kufa lzm tuwe tumeshika adabu.. na hicho ndicho kinachotakiwa si afe bure tu😂😂😂😂Atakufa tu,hata Kama Siyo leo, jinga wewe
watakufa kwanza wao wachawi wakubwaWamebanwa hato chooni hawaendi......
Kuna mmoja alimtaja hadi waziri fulani akisema hataki 'mama' achukue nafasi.😂
Hii nchi watu wanapika uongo na kuusambaza kwa 'details' kabisa🤣🤣
Hotuba ya upole Sana.Watazamaji Kuna kimyaaaa mnoTUNAFURAHI MH. KUJA ILA TUSEME UKWELI HUYU SI MAGUFULI TUNAYEMJUA ANAUMWA TUMUOMBEE SANA
Atakufa tu,hata Kama Siyo leo, jinga wewe
ulikuwa mbinu ya kuwasahaulisha watu juu sakata la kwa DPPDah afadhali japo watu wamehamishwa kwenye mijadala wa computer za DPP
Mkuu wapi nimeandika milele..?Acheni uPUMBAVU wakumkufuru Mungu nani ataishi milele
Wapi hapo university of medical center Hamburg
Ikulu leo ni moto,viwers 10,125 live youtube.