Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Jembe letu!
nimemuona Rais wangu JPM yuko fiti sana, tutamtunza Rais wetu kwa sala zetu na dua zetu, Mungu amkinge na wale wote wenye.
wachawi wote wameaibika!!
Bora katiba ibadilishwe atuongoze miaka 30,ili wenye roho mbaya wachanganyikiwe kabisaaa.
Mungu mbariki Rais wetu Mungu Ibariki nchi yetu
 
Nimefurahi sana kumuona Mh. Rais akitekeleza sehemu ya majukumu yake. Hakika furaha yangu imerejea....Mungu mjalie afya njema na ulinzi
 
Mpaka tufike 2020 tukiendelea hivi tuttaonja shubiri.

Watanzania tusiyumbishwe na watu wanaolipwa kwa kuenezwa propaganda mitandaoni.

Kila mtu akomae na yake maana tunapewa simanzi zisizokuwa na maana.
 
Pumbafuu sana Kigogo kanikata stimu kabisa shenzi sana nilikuwa najua wiki hii hamna kaz kesho bendera ingepepea nusu mlingoti nilishajipa kalikizo daah ngoja nikope nauli ya kuwahi job kesho
 
Sikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
Kuna watu ni kina JACK OF ALL TRADES,MASTER OF NONE. Mtu ambaye kila mada yupo na ni active sana hawezi kuniaminisha eti yeye ni mtu wa kitengo au kurugenzi ya ikulu ama idara nyeti. Watu wa nyadhifa kubwa uko huwa wanakuja ghafla na kupotea sio kushinda kila thread
 
Back
Top Bottom