Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Sem2708
We uko nchi gani ndugu yangu, Rais anaapisha wateule wake na iko live watu wanashuhudia..
 
Mi nilisha wambia acheni uzushi wenu angalia sasa mnaumbuka mtaficha wapi sura zenu na master mind wao kigogo Leo sijui atapost mini mjinga yule
Kuumwa anaumwa kweli siyo uzushi sasa wafiche sura zipi? Kigogo hajulikani na anayempa taarifa hajulikani sasa wataficha sura kivipi?
 
Haya sasa wapiga ramli mpo... Yule mjinga mwenzenu Kigogo2014 kule kijiweni kwa watu wasio na kazi muendelee kumsikiliza tu. Chuma hicho hapo kesho tunaendelee kutumbuatumbua kama kawaida..

Mijitu mizima na familia zenu mpo busy kutetea ujinga ujinga eti Kigogo kasema twitter, jitu limesoma kabisa lina degree na wengine PHD wako busy na ujinga ujinga, kum-a-ma-ye zenu.
Kweli sisi majinga tusamehe jk alisema maneno ya kuambiwa ----- daah kigogo katufanya vibaya mbwa huyu
 
Watu wa hovyo sana hawa,ajabu ni kwamba wapo wanaoheshimika na kuaminika kabisa. Nitawashangaa sana watu wakiendelea kuwaamini.

Inawezekana huyu mzee wamekuwa wakimtungia tuhuma za uongo tu ambazo hata hazipo.

​

Mzee anaumwa kweli si umeona kaongea kwa unyonge kiupole sana tofauti na kawaida yake
 
Back
Top Bottom