Nani kakuambia mimi nilifuata au niliamini? Unapiga ramli sio?wewe ndio unatakiwa ujifunze kuwa usipende kufuata na kuamini kila kitu unacho kisoma kwenye mitandao.
akili ya kuambiwa au kusoma changanya na akili yako
Tabia ni ngozi, muda si muda atarudi kwenye originality yake baada ya hili kupita
Kigogo 2014 anakusalimia [emoji1672][emoji56]Aiseee watu wamecheza hata pele haoni ndani
Yamemtajirisha tu Mexcence Melo na miuzi yao ya umbea. Na yanachoniudhi zaidi yanajiita Great Thinkers. Yanapoteza kabisa maana. Nafikiri yangejiita Great Nyumbus!Mijitu mizima imejazana mitandaoni toka juzi kujadili umbea tu, imeumbukaje? Dadeyk! Kurasa kibao mnajaza uozo tu hamlali?
Mwisho wa uongo aibu!
Pale sikubaliani nae ndiyo huwa namsema.Uabike kwa kuwa unauma na kupuliza
Siyo uzushi ndiyo ukweli wenyeweWatakuja na uzushi mwengine, kuwa hii ni makusudi ya kuwasahaulisha DPP.
Mmebadilika tena Si mlishasema yuko ujerumani ICU? Mtanyooka tu.Mungu amemkumbusha kupitia tukio hili
Ina maana hujamwona muda mfupi uliopita?Ukweli uko pale pale na jibu litoke kwani kuuliza yuko wapi au nini kimempata ni kosa???
Wale waliosema yupo Ujerumani Serikali inasubiri kusafirisha mwili aibu ya tufani imewashika. Wasubiri kiboko.cha Mungu.Yuko ikulu, natumaini umemwona TBC live akiapisha viongozi alioteua jana. Una jengine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu ni mwema nikikutana na kigogo ntam @@@@@ra
Kuna guru mmoja amenidokeza hapa kuwa ile hadithi yoote ilikuwa mkakati mahsusi wa kumtokomeza yule mtoa 'leaks' maarufu Kigogo2014. Kama ni hivyo kweli basi wamefanikiwa 100%. Amelishwa sumu akaibugia kama yote!Yamemtajirisha tu Mexcence Melo na miuzi yao ya umbea. Na yanachoniudhi yanajiita Great Thinkers. Yanapoteza kabisa maana. Nafikiri yangejiita Great Nyumbus!