Nendubotho Sunguya
Senior Member
- Oct 9, 2019
- 126
- 109
Chadema wanapemda kupata huruma tu ila wao ndo wakwanza kutakia wenzao mabaya.aisee
Unajichanganya, soma ulichaondika. mungu wenu hajawasikiliza kaombeni tena nyinyi watu wasafi kuliko wote dunia hii
Saa 12 ya Jioni kama upo Tz.Game ya Man U saa ngap?
Hakuna kufuta ukae tu ili kila ajaye humu anaona watu wenye roho za mbaya za kuombea mabaya wenzaoMods futeni nyuzi zote
SawaSijawahi ona
Ndio ajue MATAGA sio saizi yake, wale wote waliokuwa wanaunga juhudi wajiandae psychologically...Kuna mtualisena huu ni mtego na umenasa wengi
Kuugua ghafla sio tatizo. Tatizo ni kudanganya watanzania hayo yaliyosemwaKama hamuamini kuwa aliugua ghafla basi bakini hivyo hivyo
Ulina na makoye nyandebhe. Utizebha ukuzwala u mpira. Ubhu meme bhukukunasa ulu uja bila kuzwala u mpira.Yapola gete eng'oro yane loloooo
Naja nakulya nyoo ehaha yamwanike umo wa kichaga wapee gete ichemwe
Mkuu hakuna anayebisha, hata asubuhi hii uliandika kitu kama hiki but very wisely. Hebu kaangalie alichokuwa anaandika Mshana, Sky Eclat, James 88 na mtu anaitwa bwana Hustling!Kama hamuamini kuwa aliugua ghafla basi bakini hivyo hivyo
mheshimiwa rais john pombe magufuli muda huu yupo live anawaapisha viongozi aliowateua siku ya jana katika viwanja vya ikulu
mungu ibariki tanzania
mungu mbariki raisi wetu
mungu walaani wote wenye nia mbaya na nchi na rais wetu aamin
hapo kuna watu walipewa habari tofauti tofauti ili kujua nani anavujisha kwa kigogoKuna mtualisena huu ni mtego na umenasa wengi
Ni wazi ujumbe umetupiliwa mbali ndio maana pamoja na maombi yenu Mh anahutubia sasa hiviUmekuja na marking scheme hapa jukwaani? Awe amesikiliza hajasikiliza ujumbe umefika, una lingine?