hata kama hataongea, muhimu tumemuona kwa MACHO yuko fit...inatosha!.ameanza kuongea?
hata kama hataongea, muhimu tumemuona kwa MACHO yuko fit...inatosha!.ameanza kuongea?
Ziachwe kama walivyoziacha wakati uzushi ukiendelea. Ziachwe ili tuwaone wale wenye roho nzuriMods futeni nyuzi zote
Kigogo upo nae hapo JiranKigogo ni takataka tu. Naomba vyombo vya dola vimshughulikie
Sijawahi onaHuwa huoni akitoa kauli za kuwaponda wapinzani ?
Nimemuona yupo fit kalikitAmka uliko yupo live tbc1 na ITV
Kama hamuamini kuwa aliugua ghafla basi bakini hivyo hivyo
Nimemuona yupo fit kalikitKimtandao hicho lazima kitafungiwa tu
Ajiandae. Kuna mambo ukishafanya lazima uwajibikeKigogo upo nae hapo Jiran
kama namuona kigogoIkulu mubashara! Asante Mungu Baba.
Kuna mtualisena huu ni mtego na umenasa wengiYule ni mshenzi wa kwanza humu ndani, hata hiyo platinum member sijui alipewa vipi.
Wote hawa dawa yao ipo jikoni.
Mbinu aliyotumia DGIS naona imezaa matunda, wasaliti wa nchi wamejulikana mapema kabisa.