Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ibilisi kaumbuka na watu wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mheshimiwa rais john pombe magufuli muda huu yupo live anawaapisha viongozi aliowateua siku ya jana katika viwanja vya ikulu
mungu ibariki tanzania
mungu mbariki raisi wetu
mungu walaani wote wenye nia mbaya na nchi na rais wetu aamin
 
Hakuna la kujifunza hapo kwa sababu hakuna katika dunia hii ambapo Rais anamaliza muda wake bila watu kupigwa risasi au kufa lakini kikubwa zaidi, hakuna katika dunia hii ambapo kuna siasa safi. Hoja ni uchafu wa aina gani katika siasa!

Kwa Afrika, wanasiasa kupigwa risasi siyo jambo la ajabu au la kujifunza kwa sababu ndio mazingira ya kisiasa ambayo yamejengeka katika msingi huo.
Kwa hiyo mtu kusema aliyepigwa risasi katelekeza jimbo kwako sio kitu cha ajabu...acha sasa na wanaoshangilia wakisikia mtu anaumwa or kapata matatizo washangilie kwa raha zao...mbona nalo hilo si la ajabu
 
Back
Top Bottom