Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kwa taarifa yako hamna mwenye hiyo roho chafu ya mauaji, otherwise watu wangeshaingia msutuni muda mrefu, ndio maana watu wanatumia hii hali kuonyesha hisia zako kwamba hawatendewi haki. Ingekuwa huko Somalia huu upuuzi watu wangedeal nao vyema.
Unajichanganya, soma ulichaondika. mungu wenu hajawasikiliza kaombeni tena nyinyi watu wasafi kuliko wote dunia hii
 
Sikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
Yule ni mshenzi wa kwanza humu ndani, hata hiyo platinum member sijui alipewa vipi.

Wote hawa dawa yao ipo jikoni.

Mbinu aliyotumia DGIS naona imezaa matunda, wasaliti wa nchi wamejulikana mapema kabisa.
 
Alli Bujiku Sakila. Mzee Sakila nakumbuka aliwahi kuwa Naibu waziri Elimu. Naona mwanae kateuliwa kuwa Balozi.
 
Hawahusiani lolote na rais, bali nimekupa mifano tu ya watu wenye nia mbaya, maana ww umeonyesha kushangaa watu kuombea wengine kifo. Nikakuambia hilo la kuombea kifo ni jambo dogo. Una lingine?
Madman sees what he se..
 
Back
Top Bottom