Uimara wake uko wapi?Kwa mara ya kwanza naomba kuipongeza TISS kwa sasa iko imara kuliko wakati wowote ule.
Ila nadhani kupitia hilo tukio kajifunza kitu.Jembe letu!
nimemuona Rais wangu JPM yuko fiti sana, tutamtunza Rais wetu kwa sala zetu na dua zetu, Mungu amkinge na wale wote wenye.
wachawi wote wameaibika!!
Bora katiba ibadilishwe atuongoze miaka 30,ili wenye roho mbaya wachanganyikiwe kabisaaa.
Mungu mbariki Rais wetu Mungu Ibariki nchi yetu
Sasa naanza kuamini Magu kakata uzi duh najisikia kulia simpendi lakini Nilitaka uzi ukatike kwa staha sio baada ya kuona Moshi
Wafuasi wa kigogo mpo? Hahah
Cc Mr Q
Hawana pa kujificha kwani wana imani magufuli kajifunza kuwa hata CCM wengi hawampendi hawakuitisha maandamano kujua alipo tokea juziSKY ECLAT kajificha wapi?
Tabia ni ngozi, muda si muda atarudi kwenye originality yake baada ya hili kupitaNajua hata yeye mtukufu kuna somo kalipata vizuri sana
Naona kawa mpole kweli kweli kama sio yeye vile
Haya sasa wapiga ramli mpo... Yule mjinga mwenzenu Kigogo2014 kule kijiweni kwa watu wasio na kazi muendelee kumsikiliza tu. Chuma hicho hapo kesho tunaendelee kutumbuatumbua kama kawaida..
Mijitu mizima na familia zenu mpo busy kutetea ujinga ujinga eti Kigogo kasema twitter, jitu limesoma kabisa lina degree na wengine PHD wako busy na ujinga ujinga, kum-a-ma-ye zenu.
Wanadhani akifa wataamka wakiwa wametajirika.Hii taarifa ni njema sana kwetu wapenda maendeleo na wazarendo ila wale waliokua wakisubilia taarifa ya kifo asaiv matumbo yanawauma wanatamani kusikia kifo cha binadamu mwenzao wakiamini ndio mwanzo wa mafanikio yao., Nawapa pole sana # CHUMA bado kipo sana
ajifunze niniDuh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Wewe jinga kumbe huwa upo?Mungu ambariki sana na kumlinda Mh. Rais wetu.
"Jealous never ever win"Ila kajua kuwa anayofanya kuna watu hawayapendi na wanatamani hata asiwepo