Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Hivi mkisema kweli mtakufa?
Ficha upumbavu wako basi
Ficha upumbavu wako basi
Wewe digidigi ndiyo mnafiki mkubwa hupati teuzi hata ujipendekeze kwake vipiAcha unafiki pimbi wewe mbona rais yupo fiti kabisa
🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣Yamemtajirisha tu Mexcence Melo na miuzi yao ya umbea. Na yanachoniudhi zaidi yanajiita Great Thinkers. Yanapoteza kabisa maana. Nafikiri yangejiita Great Nyumbus!
kwani ile ya "V" uliyoileta humu haikua uzushi?Watakuja na uzushi mwengine, kuwa hii ni makusudi ya kuwasahaulisha DPP.
Kwisha habari yao. Ningekuwa mimi JPM wala nisingehangaika nao ningewaacha wajifie wenyewe kwa kihoro!Wale waliosema yupo Ujerumani Serikali inasubiri kusafirisha mwili aibu ya tufani imewashika. Wasubiri kiboko.cha Mungu.
Queen Esther
Halleluya,nilisema kuna watu wanakwenda kuaibika leo.
Hii sinema kama ya MOwalikua wanapima upepo,ila amajionea mwenyewe
Mzee anaumwa kweli si umeona kaongea kwa unyonge kiupole sana tofauti na kawaida yake
Duh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!
Sishabikii siasa lakini TZ ina vilaza wengi sana kunasa kirahisi tu kwa kuamini amini uongo usio na tija.Hivi inawezekanaje mtu mmoja anaeneza uongo na taharuki ya kifo cha Rais tena kwa kushupalia?
Vinginevyo huyu mtu anayeitwa kigogo ni pandikizi la intelligence system tu ku divert attention za watu!
Sijawahi kushuhudia ujinga kama huu!
Ndiyo.Umeangalia video?
Watakuja na uzushi mwengine, kuwa hii ni makusudi ya kuwasahaulisha DPP.
Watasema ni recorded, na bado waumini wao watawaamini. |
Mti wenye matunda mazuri ndiyo unaopigwa maweTokea tafaruku ianze mimi sijachangia chochote kile. Siwezi lishwa maneno na watu ambao wanadai eti "kaka yangu aliyeko katika kitengo amenambia" Hii mitego hunipati kabisa. Pia nimeendelea kujisifu na kuamini katika msimamo wangu,siasa ni kitu amabacho siwezi shabikia iwe upinzani au kuunga mkono juhudi. Kumbe rais anachukiwa hivi
Lakini amejimaliza mwenyewe, hakuna wa kumuamini tena.Huyu kigogo 2014 wa Twitter sijui atawaambia nini watu huko Twitter,siku ya jana na leo watu wengi walikua wakifuatilia nini ata tweet kuhusiana na afya ya rais Magufuli.Ila kiukweli kwa hotuba aliyoitoa leo ikulu mh.rais amepoa sana inawezekana ni kweli anaumwa lakini sio ktk kiwango kile cha uvumi uliovumishwa kwamba amesafirishwa kimatibabu kwenda Ujerumani.Pia hapa lipo la kujifunza inaonekana watendaji walio chini yake hawamwambii ukweli kuhusu kauli zake,hali ya maisha mtaani,na vingi ambavyo raia wanalalamika,pia kupitia hiki kilichokua kinaendelea nadhani mh.rais atajua kiasi gani ana maadui wengi ambao hawamkubali.Kigogo 2014 tafadhali tunakuomba urejee Twitter [emoji1787]