Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Huyu kigogo 2014 wa Twitter sijui atawaambia nini watu huko Twitter,siku ya jana na leo watu wengi walikua wakifuatilia nini ata tweet kuhusiana na afya ya rais Magufuli.

Ila kiukweli kwa hotuba aliyoitoa leo ikulu mh.rais amepoa sana inawezekana ni kweli anaumwa lakini sio ktk kiwango kile cha uvumi uliovumishwa kwamba amesafirishwa kimatibabu kwenda Ujerumani.

Pia hapa lipo la kujifunza inaonekana watendaji walio chini yake hawamwambii ukweli kuhusu kauli zake,hali ya maisha mtaani,na vingi ambavyo raia wanalalamika,pia kupitia hiki kilichokua kinaendelea nadhani mh.rais atajua kiasi gani ana maadui wengi ambao hawamkubali.

Kigogo 2014 tafadhali tunakuomba urejee Twitter
Jamani mmemuona live are kwenye clip?Huyu mtu tunajua aliliweka bunge gizani ili yeye awe live kwa kila kitu sasa kama hamjamuona live liningani badala yake mmerushiwa clip I am very sorry for you guys
 
Yalivyokuwa yanaongea kwa kujiamini sasa ila hapa ndio huwa nawashangaa baadhi ya watu ambao profile zao ni kubwa sana kwenye jamii wanawezaje kuwa na uelewa mdogo kiasi hiki?mfano huyu zitto,maria sawa yule hata ukimuangalia unajua ni wa "kawaida tu"ila umjini mjini unambeba na ka ngeli kake
Yamemtajirisha tu Mexcence Melo na miuzi yao ya umbea. Na yanachoniudhi zaidi yanajiita Great Thinkers. Yanapoteza kabisa maana. Nafikiri yangejiita Great Nyumbus!
 
Wanajifanya wao wana upendo kumbe mioyoni mwao wamejaa chuki na wanakosa namna ya kufanya ili wafurahi zaidi!

Waliokuwa wanafurahia rais wetu kuugua na wengine walienda mbali zaidi kusema he is no longer...., maana yake wanamuombea mabaya na tunatakiwa kuwa makini nao sana maana wanaweza hata kushiriki kufanya hujuma ili kufanikisha nia zao ovu!

Tumshukuru Mungu kwa yote maana imetuwezesha kujuana mawazo yetu kwa nchi yetu na rais wetu!

Siku Mungu akiamua atamchukua lakini si kama watakavyo wao au tutakavyo sisi! Tuombeane kheri!

Mungu wetu aendelee kumlinda mpendwa wetu haijalishi tofauti zetu za kiitikadi! Tunampenda na bado tunamhitaji!
ukiua kwa panga utauwawa kwa panga,same alivyomtakia kifo lissu ndivyo watu wengine wanavyomtakia yeye,
 
Mkuu huwa nakufatilia vizuri sana pindi zinapotea kuhusu hizi movie za CCM na serikali yake.

Ubarikiwe mkuu kwa kuwatambua hawa magambas.

Ila hii nchi ina vituko sana aisee!
Sisi wengine ni wazalendo mkuu

Na subiri...... Wengi watalia sana sababu ya hili saga.... I told them ma comment zote nlzowashauri naenda kufuta wasinijue!
 
Back
Top Bottom