Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Ila upendo haulazimishwi
Na chuki nayo vivyo hivyo....
Ila upendo haulazimishwi
Tumeshafungua kesi tayari TCRA ili watulipe tunasubiri majibu kama hawatachukua hatua lazima mtu atumbuliwe hapo TCRA! Hatuwezi achia ujinga wa namna hii hata siku moja!Nafikiria ingekuwa inawezekana kwenda kufungua kesi mahakamani kwa athari niliyoipata kutokana na taarifa hizi za uzushi.
Waanzilishi wote wa mada pamoja na wahariri wa majukwaa wamesababisha taharuki na pia wameniathiri mimi kama msomaji wa mitandao.
Kuna kazi nilishindwa kufanya tangu jana kutokana na kutokuwa na amani kwa sababu ya taarifa hizi za uzushi. Hivyo kazi zangu zimekwama kukamilika kama ilivyotakiwa na hivyo kila kitu kimevurugika hivyo natakiwa kuingia gharama za kuongeza siku za kukamilisha kazi hizi.
Aisee! Kama anaenda ili aoneshe anaweza kwenda na kurudi inawezekana. Lakini kama ni mgonjwa kama tulivyoaminishwa sio rahisiKwa mtu mwenye private jet akieenda ujeruman tuseme juzi usiku, leo hawezi kurudi fast?
Rais wa nchi kuzushiwa kifo na watu kufurahia unaona Taifa liko moja?
Waliokuwa tired washajulikana ni chadema na zitto,The way he talks kuna shida....aendelee kumtanguliza huyo Mungu anayemsema then aje pia ajitafakari kwa nini hii hali imekuwa kwake hasa wakati huu ambao haijajulikana if he is stable healthly or not.
Ajitafakari why people are really tired of him and his system!?
Kwa mtu mwenye private jet akieenda ujeruman tuseme juzi usiku, leo hawezi kurudi fast?
Uko well informed.Umenikubali ki vipi?
[emoji851][emoji851]
Jana ilitoka taarifa kuwa raisi kafanya uteuzi, ila kwa ujinga wenu mkaanza kusema ni fake!
Hili hata mimi nawalaumu sana, watu wamekaa kwenye taharuki kubwa kwa masaa kadhaa wasijue nini kinaendelea.
Kipi kiliwashinda kujitokeza kama ilivyofanyika leo na wapika uongo wakaumbuka?
Lakini kwa upande mwingine nashukuru ukimya wao umewaonyesha watu ni kiasi gani wanawaamini watu wazushi na wasiofaa kuaminiwa.
Waambie wasirudie tena.
Ulaaaniwe wewe na uzao wako wooooote mambo muanzishe wenyewe halafu uhusishe chadema. Mbwa nyie
Kuna mwingine anajiita mdude chadema anasema ety Raisi amefanyia heart bypass karudishwa fasta kuapisha then anarudi....hivi anaijua kweli hata hiyo heart bypass anadhan ni procedure ya kizembe Dah tanzania hii na wapinzani hawa tulionao tuna safari ndefu sana
Apoteze urais 2020 kwa nani? Kwa zito mchumiia tumbo au kwa upinzani upi? Mkuu we endelea tu kuwatafutia kinda wako chukula na mengineyo hiyo habari ya 2020 ni tutafuata tu itifaki ya kisiasa (uchaguzi) kumrasmisha tu mkulu. Kama ingekuwa inawezekana hzo gharama za uchaguzi tungezipeleka tu kwenye sgr au miradi mingine ya maendeleo.Mimi ni mpinzani lakini napenda Jiwe amalize miaka yake 10 aondoke au basi apoteze kwenye uchaguzi 2020.Lakini sio aondoke kwa style hii!
Binafsi sijafanya kazi zangu tangu jana kwa sababu ya taarifa hizi za kizushi.Nyau we hakuna aliyetaharuki watu walizizima kwa shangwe