Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Hata wewe walikuzushia umekufa, eti wewe ndo ulikuwa mtangazaji aliyekufa wakati anaenda kumzika Ruge, kumbe upo.
Shenzi sana Mange Kimavi, shenzi sana Kigogo, shenzi sana Maria Sarungi na wengineo wazushi, pumbavu zenu
Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.

Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.

Just stupid beyond belief.

Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.

Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...

Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??

Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??

Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.

Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?

Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?

Bure kabisa.

Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.

Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo [emoji1787]].

Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.

Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?

Kwendeni zenu huko.

Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.

Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......

Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
 
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo 🤣].

Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.

Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?

Kwendeni zenu huko.

Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.

Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......

Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]

Ngabu as always from long time ago, keep it up! Wanafikiri huu mtandao uliota kama uyoga.
 
Mbona huyu alileta uzushi huu,
Vicky Emmanuel Nchimbi wrote this piece 👇👇👇👇

Taarifa zinazosambazwa kuwa JPM amefariki si za kweli. Ni uzushi Zipuuzeni. May be if he will die in future on God's will, but as for now he is alive. It's true alipata heart attack akiwa ziarani kusini na kukimbizwa Dar usiku kwa helcopter ya jeshi kisha akasafirishwa to SA then Germany. Mama Samia aliitisha cabinet jana to adress the situation and all security organs are alerted.

Taarifa rasmi haijatolewa kwa sababu ya kuhofia kuiweka nchi kwenye tention unnecessarily. Kwa hiyo ili kupunguza minong'ono iliyopo imebidi itolewe taarifa ya uteuzi aliofanya kabla hajaugua. Ni idea iliyotolewa na Mzee Lukuvi just to calm people down. Ndio maana watu wanahoji if he is okay kwanini asijitokeze hadharani hata kwenda kununua samaki kule ferry as he used to be? uteuzi haujafanywa leo, isipokuwa leo umetangazwa tu. And the one who announced is Gerson not JPM.

Kutumia uteuzi as derteminant that he is okay is wrong. He is not okay and he is not in the country. Ndio maana hata kwenye mkutano wa AALCO he will be represented by mama Samia. Lets pray for him for the quick recovery. I'm told leo kapata nafuu na kaweza kufungua macho usiku huu. These are good news lets keep push the prayers. Hata kina Bashe na Polepole wamepata ujasiri to speak it out baada ya mzee kufungua macho usiku huu. Lakini tangu juzi alipozidiwa they were quet as absent b'se they couldnt anticipate what nature could provide.

The most important thing let's keep praying for him, and send our gratitude to Germans kwa kupambania afya ya baba yetu. Tusimuombee mabaya just b'se of political dissimilarities. Our prayers, our unity, our nation, our President.
 
Mimi shida yangu Ndg.Ally Balozi hakushina kitabu cha Imani yake wakati wa kuapa kwake sijui hili limekaa vipi ? Ila so far so Good

Bado yupo
 
Wengi wao ni wezi, Mafisadi na watumishi waliohamia Dodoma

Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuombea mtu kifo

Hili kundi ni la hovyo sana, Hawa ni kundi la wasiolipa kodi na watumishi wa uma

Hii nchi kuna vilaza wengi sana hasa hawa vijana wanaomaliza vyuo vikuu, hawana jioya zaidi ya udaku

Kuna haja ya kubadilisha mitaala ya vyuo vikuu
Sio wazushi tu. Ni majuha pia!
 
Yameshushuka haswa haya mang'ombe, jitu kama Lema na uzee wote ule na lenyewe lilikua linajichetua huko twitter eti linamtaka Rais wake ptuuuuuuuu

Hakuna watu nimewadharau kama Lema, Zitto, hao vigagula wengine kama Sarungi nilishawaona kama mwajumandalandefu toka siku nyingi. Akili hawana
 
Binafsi sijafanya kazi zangu tangu jana kwa sababu ya taarifa hizi za kizushi.

Ninachokiongea namaanisha sio kama wewe unayedhania tunafanya siasa!
Kuna kazi zilitakiwa weekend zikamilike zimeshindikana hivyo nalazimika kufanya compensation jumatatu na jumanne na hivyo ratiba nzima ya wiki kesho imevurugwa!

Wewe kama unafanya manual work kiasi kwamba hata taarifa hizi haziathiri utulivu wako ni wewe. Wengine tunatakiwa kuwa katika hali ya utulivu kimawazo ndio uweze kuzalisha katika kazi yako.

Tunatofautiana nature ya kazi hivyo nakubaliana na wewe baadhi hawakuathirika.
Kweli mkuu wengine humu ni kula kulala achana nao!
 
Acha maneno jibu hoja.
IMG-20191020-WA0031.jpg
 
Yaani wewe unalaumu Mitandao ya kijamii wakati gazeti kabisa linaandika ujinga na baado copies zingine zinapelekwa mpa ofisi za serkali
 
Back
Top Bottom