G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
umeanza kujitoa, wakati nyie ndo mlikuwa mbele mbele..
Nionyeshe mahali nilipokashabikia hako kakikundi unakokasema.
Nionyeshe mahali nilipokashabikia hako kakikundi unakokasema.
Genge langu,lipi hilo?Rais anaumwa? Yes,alipata heart attack ?Yes.Alikufa?No.Sasa mneanza kujitetea kwavile mmeumbuka;kama sio wewe GENGE lako!!
Kwa posts zako za leo na uzushi huu kwa jumla, nimekukubaliSijamuona.
Utakuwa hukumuelewaSasa mneanza kujitetea kwavile mmeumbuka;kama sio wewe GENGE lako!!
Umenikubali ki vipi?Kwa posts zako za leo na uzushi huu kwa jumla, nimekukubali
Ulaaaniwe wewe na uzao wako wooooote mambo muanzishe wenyewe halafu uhusishe chadema. Mbwa nyieMungu awalaaani chadema
Umepiga U-Turn ya nguvu... Wazee wakubadilisha gia angani hahahahahaAnyway nliwaambia jamani
Kwamba huu ni mtego mkaniona mjinga
Kweli mkuu kuna watu wazushi wengi sana
Wakuu usikute Kigogo ni mtu wa mfumo..maybe katumwa kuichezesha ngoma na watu wakanasa
Kuanzia sasa sitamuonea huruma yoyote, na nakuomba mh raisi kanyaga kwelikweli hawa wajinga wa upinzan!Ni wapuuzi sana mkuu! Yani Max na akili zake zote ameshindwa kabisa kuona kwamba ile ilikuwa kosa? Alafu anajua kabisa kwamba yuko mawindoni alafu anamwachia adui mlango wazi?