Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Tuna upinzani wa hovyo Sana Tz
Narudia tena, kuitawala hii nchi ni rahisi sana!
Kizazi kinachosadiki kila jambo bila hata kuchukua sekunde chache kupima, kutafakari na kuhoji jambo ni hatari kuliko kansa.
Lakini kubwa zaidi, kiwango cha chuki na roho mbaya kimenistaajabisha sana.
Naweza kusema magonjwa, matatizo na shida nyingi zinazowasumbua watu huenda ni roho mbaya tu! Huwezi kuwa na roho mbaya namna hii ukabaki kawaida, haiwezekani.
Kweli napishana na mheshimiwa kwenye baadhi ya mambo, lakini kumuombea kifo au kufurahia mabaya yakimpata sijafaulu bado nihitimu hayo masomo kuelekea uchawi.
Ni kweli inastahili hii mijitu kuitwa majuha me kiukwel wananiboa ni washamba wamatumizi ya social networkTatizo wala siyo Magufuli.
Tatizo ni ujuha wao tu.
Hata kama Rais angekuwa ni Samia, mambo yangekuwa ni yale yale tu.
Mwanaume mzima akisimama tu, kutembea sio shida. Ukiona mwanaume aliekulia vijijin anashindwa kutembea baada ya kusimama ujue kwisha habari yake. Mimi naamin waliamua kumrudisha Dar baada ya kuona uchovu umemzidia kwa wakaamua kukatiza kila kitu na kumrudisha Dar ili apumzike apate nguvu. Amezunguka sana tena sehem kubwa kwa rough road.Rais kaforce,hapa naomba Mungu asije anguka mbele za watu. Maadui wakapata credits. Natamani asiende kwenye hii press.
Mimi sikubaliani na Lissu kwenye mengi tu.
Lakini kamwe sikuwahi kumwombea mabaya kama yale yaliyomkuta.
It’s never personal.
Hajitambui na hajui wajibu wake na jinsi ya kubehave. He is still very immature politically ndio maana bado anaendeshwa na hisia, chuki , umbea na uzushi.Kuna viongozi makini wa upinzani wamekaa kimya wakiangalia hali inavyoenda wala hawajarukia matango pori.Ila miongoni mwa viongozi wa kisiasa ZZK kajiharibia sana, tena sana. Sikutegemea kabisa yeye kama kiongozi kudhihaki mamlaka ya rais, kwa sababu hao hao ndiyo pia wanamlinda ZZK, hata akiwa rais ndiyo hao hao atafanya nao kazi, ZZK anashindwa kutambua dhihaka juu ya kifo cha rais ni dhihaka ya mamlaka ambayo inaweze kumblack list kwa uongozi wa aina yeyote wa nchi hii. Sijui kama hatotafuta po akaombe msamaha huyu mnafiki
Bingwa we acha tu
Kabisa mzee baba ni upinzani gani Huu wakijinga sasa sijui watatafuta kitu gani kingine maana kwa hili wameumbuka.Tuna upinzani wa hovyo Sana Tz
Jana ilitoka taarifa kuwa raisi kafanya uteuzi, ila kwa ujinga wenu mkaanza kusema ni fake!
Tafadhali naomba ukinukuu ujumbe wangu humu jukwaani,jibu au sema kutokana na kile nilichosema mimi. Hapa jukwaani nipo mimi kama mimi na usijaribu kuweka wingi na ukaniingiza kwenye wingi huo. Jitahidi sana kunitofautisha mimi na watu wa aina yako ambao mnaamini katika wingi wingi wenu huo mliowekwa huko na kushikiwa akili na wanasiasa wenu. Mimi sio mmoja kati yenu. |
Ndo mjue jinsi gani yule mzee Lowassa alivykuwa anaumia kipindi kile cha kampeni, mlimuongelea kila neno la kashfa, siasa hizi za chuki na kashfa mlizianza nyie..Na chuki nayo vivyo hivyo....
Huyo Mimi binafsi nilimtoa maana siku nyingi mwanzo nilikua namuheshimu sana na thread zake zote ilikua lazima nizipitie. Lakini kuna siku aliandika kitu cha kipuuzi sana nikaona kumbe ndio wale wale.Sikuwahi kufikiria kama Mshana JR ni Mpumbavu kiasi hiki. Huyu Sky Eclat niseseme kitu, she is so disparate, huenda ndoa yake iko hoi na anaamini aliyesababisha na Rais!
Hahah, natamani maneno haya ukamwambie Tundu LissuKwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.
Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.
Just stupid beyond belief.
Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.
Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...
Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??
Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??
Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.
Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?
Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?
Bure kabisa.
Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo 🤣].
Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.
Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?
Kwendeni zenu huko.
Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.
Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......
Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
Kabisa mzee baba ni upinzani gani Huu wakijinga sasa sijui watatafuta kitu gani kingine maana kwa hili wameumbuka.
Hahah, natamani maneno haya ukamwambie Tundu Lissu
Na aliefurahia huyu kupigwa risasiWengi wao ni wezi, Mafisadi na watumishi waliohamia Dodoma
Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuombea mtu kifo
Hili kundi ni la hovyo sana, Hawa ni kundi la wasiolipa kodi na watumishi wa uma
Hii nchi kuna vilaza wengi sana hasa hawa vijana wanaomaliza vyuo vikuu, hawana jioya zaidi ya udaku
Kuna haja ya kubadilisha mitaala ya vyuo vikuu
Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.
Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.
Just stupid beyond belief.
Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.
Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...
Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??
Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??
Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.
Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?
Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?
Bure kabisa.
Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo [emoji1787]].