Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.

Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.

Just stupid beyond belief.

Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.

Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...

Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??

Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??

Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.

Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?

Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?

Bure kabisa.

Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.

Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo [emoji1787]].

Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.

Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?

Kwendeni zenu huko.

Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.

Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......

Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
Wewe ndio juha namba moja....tutaendelea kuomba Hadi Mungu atendee!
 
Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.

Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.

Just stupid beyond belief.

Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.

Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...

Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??

Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??

Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.

Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?

Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?

Bure kabisa.

Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.

Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo 🤣].

Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.

Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?

Kwendeni zenu huko.

Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.

Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......

Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
We nyani huoni kundulo, si ndo nyie mlishangilia Tundu alipopigwa risasi 40?
 
Afu vingi vyao vinavyochochea ni vitoto vilivyojazwa ujinga pale Ufipa!
 
Hii mijitu inaboa ile mbaya sijui ilizaliwa usiku sasa Magufuli akifa ndo utakuwa tajiri sijui inapata faida kufanya hiv hi mijitu hawana ubinadamu kabisa.Isije maombi yenu mabaya yakawageukia nyie wenyewe.Naunga mkono hoja ya mtoa mada.
 
Wanashangilia press za musiba na vijarida vyake vya matusi, kwa wasiowapenda, alafu Leo wanalialia pumbavu kabisa hawa MATAGA
 
Kuna mwingine anajiita mdude chadema kaja na hadithi nyingine kuwa Raisi kafanyiwa heart bypass faster karudishwa kuapisha wateule wake then anarudi kuendelea na matibabu.Hivi hiyo heart bypass anaijua kweli 😂😂Dah wapinzani wetu hawa tunasafari ndefu sana
 
Awakanyagee?? Kwani wao hawana miguu ya kumkanyaga??? Do me, I do you!
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
 
Hii me jitu inaboa ile mbaya sijui ilizaliwa usiku sasa Magufuli akifa ndo utakuwa tajiri sijui inapata faida kufanya hiv hi mijitu hawana ubinadamu kabisa.Isije maombi yenu mabaya yakawageukia nyie wenyewe.Naunga mkono hoja ya mtoa mada.

Tatizo wala siyo Magufuli.

Tatizo ni ujuha wao tu.

Hata kama Rais angekuwa ni Samia, mambo yangekuwa ni yale yale tu.
 
Ule usemi wa wazaramo wanaweza kukusema mpaka ukafa naona ndiyo tabia mpya.
Hiki kinachoendelea hapa ni mwendelezo wa tabia ile ile sema upande mwingine.
Na wote waoga.
Wote mnabweka tu kwenye fence.
Haya maisha ya magodfather na kusifiana na kupondana mnawapa sifa za Miungu watu kama sisi haziendi popote.

Tumekuwa taifa la simba na yanga. Mara mia hao huwa na amani.
Tubadilike. Kuendelea kuitana wapumbavu au majuha hatukufikushi popote.
Nchi hii bado ina matatizo lukuki na yanaendelea kutumaliza maana tumeacha kushughulika na mambo ya msingi tunajali yasiyo ya maana.
 
IMG-20191020-WA0007.jpg
 
Narudia tena, kuitawala hii nchi ni rahisi sana!
Kizazi kinachosadiki kila jambo bila hata kuchukua sekunde chache kupima, kutafakari na kuhoji jambo ni hatari kuliko kansa.

Lakini kubwa zaidi, kiwango cha chuki na roho mbaya kimenistaajabisha sana.
Naweza kusema magonjwa, matatizo na shida nyingi zinazowasumbua watu huenda ni roho mbaya tu! Huwezi kuwa na roho mbaya namna hii ukabaki kawaida, haiwezekani.

Kweli napishana na mheshimiwa kwenye baadhi ya mambo, lakini kumuombea kifo au kufurahia mabaya yakimpata bado sijahitimu hiyo ngazi kuelekea uchawi.
 
Nilimuelewa msimamo wake wa kutokubali uongozi huu, ila hii ya kushangilia 'kifo' cha kiongozi wa nchi kusema ukweli ameniacha na maswali mengi sana
Skyeclat+Asprin¬>AshaDii ¬>Mayasa ¬>Kigogo
 
Back
Top Bottom