Hahaaa, umenifurahisha sana kuhusu katiba.
Uzuri wako unatetea ujinga, ukibanwa sana unachomoa.
Kuhusu hell. Mshairi wa Hip Hop 2Pac alighani katika wimbo wake "Blasphemy" keamba:-
"We probably in Hell already, our dumb asses not knowing
Everybody kissing ass to go to heaven ain't going".
2Pac alielewa kwamba hakuna mbingu wala moto baada ya maisha haya, na moto tunauonja hapa hapa duniani kwa wanaoishi kwa matatizo, na mbingu watu wanaionja hapahapa duniani kwa kuishi kwa raha.
Kwa umasikini, magonjwa na ujinga wa Watanzania wengi, tayari maisha yao ni hell.
Na hao ndio wengi wanaotetea uongozi huu uliowapa hiyo hell.
Na uongozi unaendeleza maigizo ya kumaliza umasikini, magonjwa na ujinga, haufanyi juhudi za kweli.
Kwa sababu uongozi wa sasa unajua watu wakipata elimu, utajiri na afya bora, hao viongozi hawatasalimika.