Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Wapi nimekwambia uje Marekani?

Unaota?

Tanzania unaijenga kwa kuufumbia macho ukweli?
Unajimwambafai sana ujue...nakuchora tu...you act like (catalyst).haya mapungufu machache yasikutoe povu,wewe si umeshafanya maamuzi sahihi,pambana na hali yako huko marekani,and yet umesema kwamba watu wako wa karibu ambao wako huku wamenufaika tu magufuli,kausha....
 
Nina haki ya kujieleza, usitake kunifunga mdomo.

Mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilmia 55 ndani ya mwaka mmoja tu, kiasi kikubwa kwa sababu serikali imeingilia kijinga biashara ya korosho, si mapungufu machache.

Hapo sijaingia kwenye kukataza mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa na katiba.

Unasemaje hayo ni mapungufu machache, kwa kuanzia na mifano hiyo miwili tu.
 
Hilo la mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja ni suala linalorekebishika,biashara ndio ilivyo kuna kupanda na kushuka,imeshaandaliwa mikakati ya kukabiliana na hii ishu ya korosho kwa mwaka ujao,

Kusuhu mikutano ya kisiasa, sidhani kama ingesaidia chochote ,sana sana ingeleta uchochezi tu.kama kuna mapungufu yaongelewe wakati wa kampeni,na sisi wananchi tutahukumu kwa karatasi ya kura.hivi wewe kiranga ukipewa maiki kwenye mkutano wa kisiasa hapa Tanzania,utaongea nini? Hizo takwimu za korosho[emoji23][emoji23]?..au...?
 
Leadership is a body which you cannot carry everybody along....inatakiwa muelewe hii kanuni... otherwise kwa fikra zenu ndogo mtafikiri mnaonewa kila siku.....
Fikra zako ndio ndogo ,ujaelewa nilichokiandika unabisha tu au unajibu kama huelewi ndio maana na wewe soon utazushiwa uwongo
 
Hilo la mauzo ya bidhaa za kilimo kupungua kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja ni suala linalorekebishika,biashara ndio ilivyo kuna kupanda na kushuka,imeshaandaliwa mikakati ya kukabiliana na hii ishu ya korosho kwa mwaka ujao,

Kusuhu mikutano ya kisiasa, sidhani kama ingesaidia chochote ,sana sana ingeleta uchochezi tu.kama kuna mapungufu yaongelewe wakati wa kampeni,na sisi wananchi tutahukumu kwa karatasi ya kura.hivi wewe kiranga ukipewa maiki kwenye mkutano wa kisiasa hapa Tanzania,utaongea nini? Hizo takwimu za korosho[emoji23][emoji23]?..au...?
Kwa nini serikali inafanya mistake ya kijinga hivyo kwenye korosho, mistake ambayo hata watu tusio na uzoefu na nafasi za kiserikali tuliona itaipa nchi hasara?

Unaandika ni suala linalorekebishika, linarekebishika vipi?

Unaelewa unachoandika au unaleta wishful thinking?

Muhammad Ali, wakati huo akiitwa Cassius Clay kabla ya kusilimu kuwa Muislamu, akitoka katika mashindano ya Olimpiki nafikiri ilikuwa mwaka 1960 Rome aliposhinda dhahabu, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi Marekani.

Kama kijana mdogo mwanamichezo mwenye miaka 18 tu, ambaye hakuwa na uzoefu mkubwa katika uwanja wa siasa (naive), alijibu kifupi tu kwamba kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wanayashughulikia matatizo hayo na yatatengemaa tu.

Baadaye akabadilika na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali na jamii ya Marekani kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi.

Tukaona ile habari ya kusema kuna watu wenye uwezo mkubwa wanayashughulikia matatizo haya, yatatengemaa, ilikuwa ni kauli ya mtu asiyejua mambo tu. Naive optimism.

Kwa nini jibu lako nisilione ni naive kama la Cassius Clay, jibu la mtu asiyejua mambo tu?

Unaelewa kukataza mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba, na rais kaapa kuilinda katiba, na kwa kukataza mikutano ya siasa, rais si tu kavunja katiba, bali pia, amekiuka kiapo chake cha urais?
 
ila mimi Mshana Jr alinitisha na lile lipicha lake,niko tofauti na Magufuli ila sio kiwango cha kumuombea kifo..i'm sure jana kuna watu pressure zilipanda juu..na wengine wameudedi kiukweli kweli sababu ya kilichokua kinaendelea....kwa kweli aliyeanzisha huu uvumi..ni malicious....alichofanya sio powa kabisa
labda mitandaoni ndio wameudedi ! Mitaani watu wanadunda tuu, wala hawajui uvumi huo.
 
Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live zilionesha mpaka Youtube zilikuwepo.

Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.

Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
Maandishi mengi point sifuri.....
stop making noise improve your argument.
 
Kwa nini serikali inafanya mistake ya kijinga hivyo kwenye korosho, mistake ambayo hata watu tusio na uzoefu na nafasi za kiserikali tuliona itaipa nchi hasara?

Unaandika ni suala linalorekebishika, linarekebishika vipi?

Unaelewa unachoandika au unaleta wishful thinking?

Muhammad Ali, wakati huo akiitwa Cassius Clay kabla ya kusilimu kuwa Muislamu, akitoka katika mashindano ya Olimpiki nafikiri ilikuwa mwaka 1960 Rome aliposhinda dhahabu, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi Marekani.

Kama kijana mdogo mwanamichezo mwenye miaka 18 tu, ambaye hakuwa na uzoefu mkubwa katika uwanja wa siasa (naive), alijibu kifupi tu kwamba kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wanayashughulikia matatizo hayo na yatatengemaa tu.

Baadaye akabadilika na kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali na jamii ya Marekani kuhusu matatizo ya ubaguzi wa rangi.

Tukaona ile habari ya kusema kuna watu wenye uwezo mkubwa wanayashughulikia matatizo haya, yatatengemaa, ilikuwa ni kauli ya mtu asiyejua mambo tu.

Kwa nini jibu lako nisilione ni naive kama la Cassius Clay, jibu la mtu asiyejua mambo tu?

Unaelewa kukataza mikutano ya kisiasa ni kuvunja katiba, na rais kaapa kuilinda katiba, na kwa kukataza mikutano ya siasa, rais si tu kavunja katiba, bali pia, amekiuka kiapo chake cha urais?
Kwahiyo hili la korosho litabi hivyo hivyo,ninaposema kuna hatua zimeanza kuchukuliwa zimeanza kweli,inawezekana kurekebishwa, usiongee kana kwamba tumevunja glass.

Hili la katiba,kwakweli nisingependa kulizungumzia sana,kuhusu kuvunjwa katiba itavunjwa sana.yaani itavunjwa halafu itarudishwa tena 2035.ndio maana wanaombea afe.kuna mambo ambayo hatujazoea yatatokea baadae. ( nina uhakika).
 
Maandishi mengi point sifuri.....
stop making noise improve your argument.
Nani kafa na kukuachia wewe kiti cha kuwa mtoa pointi hapa JF?

Kama mimi sifuri, Wewe ni negative kabisa bora sifuri.

Kwa sababu hata nilipokosea umeshindwa kupaonesha.

You are not even wrong. You are irrelevant.

At least mtu akiwa wrong unaona ana muelekeo fulani sahihi kuna sehemu kakosea.

Wewe umejamba ushuzi tu hapa.

Irrelevant.
 
Yawezekana wapumbavu na majuha ni wengi... yawezekana kuna majuha wakubwa wanaotengeneza majuha wadogo... mwisho wa siku wanapatikana majuha wawili wote hawajitambui kuwa ni majuha.
Nilipata kuandika humu kwamba tunaelekezwa kama si kuelekea mahali ambapo upendo utapotea na watu wataombeana mabaya huku wengine wakishangilia shari zinazowafika wengine. Siyashangai haya yanayojitokeza sasa bali yanathibitisha nilichopata kukiandika humu lakini kwa sababu ya "ujuha" hatukukiona!!! Ukiona watoto wanashangilia madhila anayopata baba pasi kufikiri madhila yale yana athari kwa familia basi yatupasa tujue FAMILIA INA UFA MKUBWA.
TUJITATHMINI KWANINI MAJUHA WANABISHANA NA KUSHINDANA... VINGINEVYO TUTAFAKARI KABLA HATUJAGAWANA MBAO...
 
Kwahiyo hili la korosho litabi hivyo hivyo,ninaposema kuna hatua zimeanza kuchukuliwa zimeanza kweli,inawezekana kurekebishwa, usiongee kana kwamba tumevunja glass.

Hili la katiba,kwakweli nisingependa kulizungumzia sana,kuhusu kuvunjwa katiba itavunjwa sana.yaani itavunjwa halafu itarudishwa tena 2035.ndio maana wanaombea afe.kuna mambo ambayo hatujazoea yatatokea baadae. ( nina uhakika).
Kwa hiyo unakubali serikali yako ilifanya mistake ya kijinga kwenye korosho?

Hatua zilizoanza kuchukuliwa ni zipi?

Katiba ya Tanzania unakubali ivunjwe?
 
Hii chuki na roho mbaya inaanzia kwake mwenyewe! Haya ya mitandao ya kijamii ni matokeo tu.
Huwezi kupanda mchicha utegemee kuvuna mahindi
 
Kwa hiyo unakubali serikali yako ilifanya mistake ya kijinga kwenye korosho?

Hatua zilizoanza kuchukuliwa ni zipi?

Katiba ya Tanzania unakubali ivunjwe?
Yaah!! Nakubali kwamba serikali yangu ilifanya mistake ya kiufundi kwenye suala la korosho.( sio la kijinga).

Hili la katiba sio kuvunjwa,ila linatakiwa marekebisho kidogo. ( yatafanyika muda ukifika). Ndio maana huwa naacha mambo kama yalivyo linapokuja siala la katiba,( kuna mambo mengi yatakuja hapa).
 
Hilo nalo ni tatizo.

Washiriki wa mitandao ya kijamii ni wachache mno.

Hata humu JF, wachangiaji wa mada si wengi kivile ukilinganisha n idadi ya mada na kelele za baadhi ya wachangiaji, kiasi cha kuweza kupata taswira iliyo potofu na uhalisia wa jambo!
Umenena vyema na ndio maana hata chaguzi zote huwa wanaona kelele za mitandao zitawapa kura trust me wengi kuna uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja utaambiwa wameibiwa kura. Tatizo tathimini zao za mitandaoni zinawapoteza
 
Back
Top Bottom