Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Kwasababu anapendwa,they care about him.kama unafuatilia mitandao mingine ukiachana na jf,umeona shangwe baada ya mzee meko kuwa hewani akiapisha?,kuna kikundi cha watu wachache ndio wanaenezaa propaganda,magufuli amewashika vizuri mafisadi,lazima wamchukie,2020 sio mbali,atabeba kura 90%.
Hii hoja ya mafisadi haina nguvu. Ingekuwa na nguvu kama wanaomsema Magufuli wangekuwa mafisadi watupu.

Lakini kuna watu wengi wasio mafisadi wanamsema.

Zaidi, Magufuli mwenyewe fisadi. Kauzia nyumba za serikali mdogo wake na kimada wake kinyume na utaratibu. Anatumia hela nyingi za serikali nje ya bajeti, bila ukaguzi na bila tenda.

Sasa utasemaje kabana mafusadi wakati yeye mwenyewe fisadi?
 
Usijipange kuweza kutabiri nitakachoandika hapa, hata siku moja.

Kwa sababu utakapofikiri unanijua, utakuta hunijui kihivyo bado.

Ambao hawakumchagua alipoingia madarakani ni asilimia ngapi?

Marais waliopita walichaguliwa kwa asilimia ngapi?

Kuna rais aliombewa kifo kama ilivyotokea hivi kwa Magufuli?
Kikwete alisomewa mpk Alubadili...
 
Usijipange kuweza kutabiri nitakachoandika hapa, hata siku moja.

Kwa sababu utakapofikiri unanijua, utakuta hunijui kihivyo bado.

Ambao hawakumchagua alipoingia madarakani ni asilimia ngapi?

Marais waliopita walichaguliwa kwa asilimia ngapi?

Kuna rais aliombewa kifo kama ilivyotokea hivi kwa Magufuli?
Kati ya hao waliopita kuna hata mmoja alipokuwa madarakani alipata issue kama hii?
 
Hii hija ya mafisadi haina nguvu. Ingekuwa na nguvu kama wanaomsema Magufuli wangekuwa mafisadi watupu.

Lakini kuna watubwengi wasio mafisadi wanamsema.

Zaidi, Magufuki mwenyewe fisadi. Kauzia nyumba za serikali mdogo wake na kimada wake kinyume na utaratibu. Anatumia hela nyingi za serikali nje ya bajeti, bila ukaguzi na bila tenda.

Sasa utasemaje kabana mafusadi wakati yeye mwenyewe fisadi?
Ha ha ha ha!! Watu mnajazba mpk kiswahili kinawateleza.. dah! Siasa kweli zinanguvu.
 
Kati ya hao waliopita kuna hata mmoja alipokuwa madarakani alipata issue kama hii?
Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live zilionesha mpaka Youtube zilikuwepo.

Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.

Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
 
Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.

Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.

Just stupid beyond belief.

Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.

Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...

Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??

Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??

Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.

Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?

Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?

Bure kabisa.

Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.

Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo 🤣].

Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.

Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?

Kwendeni zenu huko.

Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.

Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......

Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]


Wamenibore sana aisee. Pumbavu zao
 
Ha ha ha ha!! Watu mnajazba mpk kiswahili kinawateleza.. dah! Siasa kweli zinanguvu.
Hujajibu hoja, umeleta viroja.

Magufuli mwenyewe ni fisadi. Hivyo si mtu wa kumaliza ufisadi.

Hujajibu hoja hii.
 
Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live ziliinesha moaka Youtube zilikuwepo.

Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.

Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
Kuzimia ndio unafananisha na hiki kilichotokea? Kazi ipo
 
Tofauti ni ipi hapa mkuu?
Fake account ya kigogo. Hyo iko na capital letter hyo ya kwanza ,,na yule mwenye taarifa fake ni kigogo ya small letter
Toa tofauti hapo kidogo
tapatalk_1571461251734.jpeg
tapatalk_1571461245519.jpeg
IMG-20191020-WA0002.jpeg
 
Hii hija ya mafisadi haina nguvu. Ingekuwa na nguvu kama wanaomsema Magufuli wangekuwa mafisadi watupu.

Lakini kuna watubwengi wasio mafisadi wanamsema.

Zaidi, Magufuki mwenyewe fisadi. Kauzia nyumba za serikali mdogo wake na kimada wake kinyume na utaratibu. Anatumia hela nyingi za serikali nje ya bajeti, bila ukaguzi na bila tenda.

Sasa utasemaje kabana mafusadi wakati yeye mwenyewe fisadi?
Hao watu wengi wasio mafisadi ndio wale watu wavivu kazini,wale waliozoea kusetiana michongo ki ukoo,hao waliokosa plan B baada ya kukosa ajira za ualimu n.k ni hiyo 10% tu.kwahiyo hao watu wakikaa kimkakati kueneza propaganda inaonekana kana kwamba watu hawampendi,hali halisi haipo hivyo.sasa hivi inaonyesha bila magufuli wanyonge watabaki kama familia iliyoondokewa na baba muhimu.watu watajihisi yatima.thats why hii saga imesambaa kwa kasi,kila mtu huwa na hamu ya kujua leo mzee baba yuko wapi,atasema nini,they pay attention... thats it..... and if they ask you " how he doin?"... tell em " he is doin better.. better than ever..better than them..[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji119][emoji119]
 
Hahahaha aisee imebidi tu nicheke, hivi mnawaza nini? Kwamba wamefanyia cloning Magufuli?dah
Hivi jamani huku kwetu huwa hatuna DOUBLES? Je, ni mimi peke yangu ninayehisi kuwa huyu jamaa aliyeapisha kuna features anazo zipo tofauti na mzee baba?[emoji848]
 
Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live zilionesha mpaka Youtube zilikuwepo.

Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.

Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
Watu walikuwa wanakula bila jasho,sasa hivi hakuna ile " unajua mimi nani?" ,sasa hivi anakoroma yeye mwenyewe....." unanijibu mimi hivyo?... halafu unaonekana una kiburi.." lazima umchukie aisee..
 
Back
Top Bottom