Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Hao watu wengi wasio mafisadi ndio wale watu wavivu kazini,wale waliozoea kusetiana michongo ki ukoo,hao waliokosa plan B baada ya kukosa ajira za ualimu n.k ni hiyo 10% tu.kwahiyo hao watu wakikaa kimkakati kueneza propaganda inaonekana kana kwamba watu hawampendi,hali halisi haipo hivyo.sasa hivi inaonyesha bila magufuli wanyonge watabaki kama familia iliyoondokewa na baba muhimu.watu watajihisi yatima.thats why hii saga imesambaa kwa kasi,kila mtu huwa na hamu ya kujua leo mzee baba yuko wapi,atasema nini,they pay attention... thats it..... and if they ask you " how he doin?"... tell em " he is doin better.. better than ever..better than them..[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji119][emoji119]
Unalazimisha.

Kuna watu wazalendo wanamsema Magufuli kwa sababu kaharibu uchumi.

Unaelewa kwamba mapato ya bidhaa za kilimo zinazouzwa nje yamepungua kwa asilimia 55 katika mwaka mooja uliopita unaoishia Agosti 2019. Soma ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwezi September.

Asilimia 55 ni zaidi ya nusu nzima. Uchumi unayumba. Mapato ya mauzo ya bidhaa za kilimo yamepungua kwa zaidi ya nusu nzima kwa nwaka mmoja. Watu wakumsema rais unawaona wavivu?

Sababu kubwa ya kupungua huku kwa mapato ni serikali ya Magufuli kuingilia kipumbavu biashara ya korosho, zao la kwanza kwa kutuingizia fedha za kigeni.

Kwenye siasa Magufuli kaharibu siasa kwa kuwavunjia watu haki zao za msingi za kukutana kisiasa.

Kijamii Magufuli kaondoa heshima ya urais kwa kutukana tukana ovyo kama baharia mlevi.

Kwenye matumizi ya fedha za umma anatumia fedha bila kufuata bajeti, kuruhusu ukaguzi wala kufuata tender process.

Sasa watu kama mimi ambao hatupo katika mfumo wa maisha ya Tanzania tukiyasema haya mabaya na sisi ni mafisadi?
 
Kikwete alitaka kuzimia Jangwani akashindwa kumalizia hotuba, kuna video live ziliinesha moaka Youtube zilikuwepo.

Sikusikia watu kusheherekea na kuzusha kifo.

Ameenda kutibiwa Marekani tezi dume akatangaza, dunia nzima ikajua, sijaona kuzushiwa kafa.
Kuna kitu 'nguvu ya vyombo vya habari'

Mara nyingi nguvu hii inatumiwa na wenye pesa kwa maslahi yao(rejea kipindi cha uchaguzi uliomweka Kikwete madarakani na kundi la Wanamtandao).

Ujue, kama hakuna maslahi yoyote (chanya au hasi) ya hao waandishi mtandaoni, hutaona chochote kikiandikwa kwa tukio lolote litakalotokea.
 
Watu walikuwa wanakula bila jasho,sasa hivi hakuna ile " unajua mimi nani?" ,sasa hivi anakoroma yeye mwenyewe....." unanijibu mimi hivyo?... halafu unaonekana una kiburi.." lazima umchukie aisee..
Mimi nilishapiga kura kwa miguu yangu kuondoka kwenye ujinga wa maisha ya Tanzania miaka mingi. Tangu utawala wa Mkapa.

Na familia yangu iliyobaki Tanzania imefaidika sana na maamuzi ya Magufuli personally.

Kwa hivyo sina sababu ya kumchukia Magufuli on a personal level. Kwa kweli ningekuwa naangalia habari za ubinafsi, ningetakiwa kumshangilia Magufuli.

Naongea vitu kwa kufuata kanuni.

Tatizo, huelewi kanuni ninazoziongelea.

Wewe ni kama mtu uliyekaa karibu na choo kinachonuka harufu ya mavi kwa muda mrefu sana.

Pua zako zimeshazoea harufu ya mavi hapo chooni.

Sasa nakuja mimi mtu niliyetoka sehemu yenye hewa safi.

Nakuambia hapa ulipokaa pananuka mavi.

Badala ya kunishukuru kwa kukuambia hilo, unanisema vibaya nakutukana, unasema nina inda na majivuno.

Huna akili ya kuchunguza na kuelewa kwamba hapo ulipokaa pananuka mavi.
 
Unanishangaza Nyani, watu ambao kwako ni majuha na wapumbavu unadhani wanaweza kweli kukuelewa?

Wanielewe, wasinielewe, shauri yao.

Mimi nimetoa maoni yangu kwa mujibu wa haki zangu za asili.

Waache tu waseme, wana uhuru kama wewe ulivyo na uhuru wa kuwaita majuha na wapumbavu hata kama siyo kweli.

Kwani nimemzuia mtu asiseme?

Huwezi kulazimisha watu wampende mtu au wamchukie mtu.

Kuna aliyelazimishwa na yeyote yule kumpenda mtu?

Huo ni uamuzi wao, uwe wa kijuha au wa kipumbavu.

Sawa.

Tatizo letu sisi binadamu ni kutaka kusikia vile tunavyopenda kusikia. Kutaka watu wafanye yale yanayotupendeza tu basi. Mwenyezi Mungu hakuumba dunia ya namna hiyo.

Unaongelea watu wote au unajiongelea mwenyewe?

Hata JPM kwa mara ya kwanza leo nimemsikia akisema kwenye uongozi unatakiwa kuwa mvumilivu, utasemwa vibaya, utatukanwa na kusingiziwa. Kwa hiyo hata hayo yaliyosemwa na hao unaowaita majuha na wapumbavu rais anajua yapo na yataendele kusemwa na zaidi ya hayo.

Ok. Kwa hiyo?

Punguza hasira Nyani, kuna siku utawelewa hao majuha na wapumbavu au wao wakuelewe wewe japo nadhamu utakuwa muujiza.

Hasira unazijua au unazisikia?
 
Kama ni mzima mwambie akipige zile push-up zake. Nyie.mnaomshabikia kiongozi katili, muuaji, mtekaji na mtesaji ndio Mabwege.Ajifunze kuwa kuna mamilioni ya watanzania wamechoka kiasi cha kufurahia mauti yake. Yeye wakati anapanga mautinya Lissu alifikiri kuwa yeye ni immotal!

Ni mzima ndiyo. Kwani hujamwona leo kwenye huo uapisho?

Mtu asiye mzima asingeweza kufanya alichokifanya yeye leo.
 
Kuna kitu 'nguvu ya vyombo vya habari'

Mara nyingi nguvu hii inatumiwa na wenye pesa kwa maslahi yao(rejea kipindi cha uchaguzi uliomweka Kikwete madarakani na kundi la Wanamtandao).

Ujue, kama hakuna maslahi yoyote (chanya au hasi) ya hao waandishi mtandaoni, hutaona chochote kikiandikwa kwa tukio lolote litakalotokea.
Ungeongea la maana kama ungesema wakati wa kikwete mitandao ya kijamii haikuwa popular kama wakati huu wa Magu.

Kuongelea nguvu ya vyombo vya habari kwa 2019 ni kukosa ufahamu maana kwa sasa cha muhimu ni bundle lako tu
 
Unalazimisha.

Kuna watu wazalendo wanamsema Magufuli kwa sababu kaharibu uchumi.

Unaelewa kwamba mapato ya bidhaa za kilimo zinazouzwa nje yamepungua kwa asilimia 55 katika mwaka mooja uliopita unaoishia Agosti 2019. Soma ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwezi September.

Asilimia 55 ni zaidi ya nusu nzima. Uchumi unayumba. Mapato ya mauzo ya bidhaa za kilimo yamepungua kwa zaidi ya nusu nzima kwa nwaka mmoja. Watu wakumsema rais unawaona wavivu?

Sababu kubwa ya kupungua huku kwa mapato ni serikali ya Magufuli kuingilia kipumbavu biashara ya korosho, zao la kwanza kwa kutuingizia fedha za kigeni.

Kwenye siasa Magufuli kaharibu siasa kwa kuwavunjia watu haki zao za msingi za kukutana kisiasa.

Kijamii Magufuli kaondoa heshima ya urais kwa kutukana tukana ovyo kama baharia mlevi.

Kwenye matumizi ya fedha za umma anatumia fedha bila kufuata bajeti, kuruhusu ukaguzi wala kufuata tender process.

Sasa watu kama mimi ambao hatupo katika mfumo wa maisha ya Tanzania tukiyasema haya mabaya na sisi ni mafisadi?
You have a point ...... but orodhesha na mazuri basi maana naona yapo mengi tu,pia mtu huwezi kuwa kamili 100% maybe hili la korosho linaweza kurekebishika msimu ujao,hapa mkuu aliteleza lakini alikuwa na nia nzuri kuhusu wakulima, kwahiyo ndio mnapenda afe?[emoji2369][emoji2369]
 
when the game is over everybody turns to be a coacher with lots of opinions.

mlikuwa wapi kumtetea mh. raisi kipindi chote hiki cha rumors siku mbili mpaka mmeona kajitokeza mwenyewe na afya yake njema then gafla mmejitokeza na kuwa experties wa kujifanya watetezi wake.
Credit kwako mh raisi mungu azidi kukujalia afya njema, achana na wanafiki wanao jitokeza sasa hivi na kujitia wako nawe

Wengine hatuna papara ya kujifanya wajuvi wa mambo.
 
Kigogo na wapumbavu wenzie inabidi waliombe Taifa samahani kwa ujinga wao
 
Kuombea mtu afe, hata gaidi, ni jambo baya.

Ni jambo ambalo kwa kanuni ndogo tu za utu siwezi kulitetea.

Ila, tujiulize. Inakuwaje mpaka rais aliyeanza urais kwa kupendwa na watu wengi sana akaja kuchukiwa mpaka kuombewa afe na watu wengi sana kwa njia ambayo si kawaida katika utamaduni wa Watanzania?

Tumekosea wapi au rais kakosea wapi?
Na hili ndio hawataki kujiuliza bali kupeana vijembe kuwa mbona hajafa? Hakika huo ni utoto na hauondoi tatizo hilo.
Hivi kesho kukipambazuka kaugua hoi tunarudi tena kulekule kuombeana mabaya badala ya kheri.
 
Duh! Ila kuna kitu mkuu inabidi ajifunze hapa!

Kuzushiwa kifo na watu walivyokuwa wakishangilia unadhani tuna Taifa moja tena?

Wengi waliokuwa wakifurahia kwamba amekufa, walitoa sababu za wale mashabiki wake kufurahia mateso ya Lissu na walofurahia kupotezwa na inasemekana kuuwawa kwa Ben Saanane!

Hamkani mambo siyo shwari tusidanganyane!
Mambo sio schwari. Rais wetu ana maadui wengi sana ndani mpaka nje. Watu wamekaa chonjo kwenye mkao wa kula. Wanasubiri jamaa aondoke waanze tena kula.

Hakuna kibaraka wala beberu katika ulimwengu huu wanampenda Rais wetu. Huyu Rais ni tishio kwa Mabeberu.

Wazungu wanahofia sana umoja wa Afrika.
Tanzania ikifanikiwa tu itapata wafuasi wengi Afrika. Na hapo itakuwa mwisho wao kutufanyia vitendo wanavyo taka.

Nchi nyingi za Afrika zinatuamuni sana. Kwa sababu sisi tuna kila kitu. Tanzania ni Paridise of heven. Na vile vile tuna lugha yetu. Hiki ni kitu kibaya sana kwa mabeberu. Hawawezi kuja na lugha zao wakatushawishi sisi wote kufanya wanavyo taka. Watapata baadhi lakini wengi wetu hawata wafikia.
 
We kauli za kuombea ufe na watu wengine walishanunua ma kreti ya bia kushangilia kifo chako utakuja ukiwa na furaha kama siku zote.HILI JAMBO RAIS WETU LAZIMA ALIOTE LEO.
Anaongea kwa unyonge mkubwa hayupo fiti
 
Back
Top Bottom