Bila kusahau chama tawala hovyo!!! Ccm ingekuwa imara na chadema,cuf na act zingekuwa imaraTuna upinzani wa hovyo Sana Tz
Bila kusahau chama tawala hovyo!!! Ccm ingekuwa imara na chadema,cuf na act zingekuwa imaraTuna upinzani wa hovyo Sana Tz
Acha uzushi wewe...
Ni wendawazimu ... Hawa badala ya ku win nafsi zetu against utawala huu wamezidi kufanya tuzidi kujua motives zao za kichawi ...Sio wazushi tu. Ni majuha pia!
We Mzee wa Box naona umeshakuwa Beberu na wewe hututakii mema kabisa. We piga Box haya ya huku tuachie!Nini wewee myebusi jikite kwenye mada na ufanye kazi acha porojo jamvini
Mkuu kakikundi ambako tunajua hadi fake IDs zao ndio mnatumia kipimo cha watanzania wote?Kuombea mtu afe, hata gaidi, ni jambo baya.
Ni jambo ambalo kwa kanuni ndogo tu za utu siwezi kulitetea.
Ila, tujiulize. Inakuwaje mpaka rais aliyeanza urais kwa kupendwa na watu wengi sana akaja kuchukiwa mpaka kuombewa afe na watu wengi sana kwa njia ambayo si kawaida katika utamaduni wa Watanzania?
Tumekosea wapi au rais kakosea wapi?
Fake account ya kigogo. Hyo iko na capital letter hyo ya kwanza ,,na yule mwenye taarifa fake ni kigogo ya small letterHuyu fala kumbe alipata umbea kutoka kwa Zito. Zito mjinga sana. Sijui na yeye alipata wapi huu umbea.
Mungu ni mkuu. Chuma kimewamaliza kwa sumu waliyojiwekea wenyewe. Viva JPMView attachment 1239403
Good is Good All the time to our mother Land TanzaniaNaona watu wakikana maneno yao, msaliti wa kwanza Zitto kabwe amejishtukia tayari....
Huyo jamaa huwa ana kiherehere kibaya sana...... alafu ni mtu wa ku seak ma attention kinoma...ila mimi Mshana Jr alinitisha na lile lipicha lake,niko tofauti na Magufuli ila sio kiwango cha kumuombea kifo..i'm sure jana kuna watu pressure zilipanda juu..na wengine wameudedi kiukweli kweli sababu ya kilichokua kinaendelea....kwa kweli aliyeanzisha huu uvumi..ni malicious....alichofanya sio powa kabisa
Nimecheka kiboyawadau wa nyuzi ya waliowahi kula tunda kimasihara twendeni tukaucheki uzi labda kuna update... namuona hata mshana wa humu kapuyanga leo mnajifanya mpo kwenye mfumo hamuijui nchi hamjui protocal basi tu ahahah victoire daadaa angu nakuona hurumaa sana maaana..............
Hizi ndio sababu zinazo jenga chuki miongoni mwa jamii yetu.Utofauti na incident ya Lissu ilikuwa ni nani kamtenda na sio kushangiliwa risasi.. hakuna aliyekuwa GT angeacha watu wasingizie wengine na kutotaka wao kujichunguza sebuleni kwao nani kayatenda.. vyeo vya kule lazima lile lingemtokea kama kwa waliopita. Kumbuka watu hawakuongelea yeye afe wamzike.. fikiria sio kudandia kwa kushushuka leo
Na aliyemcharaza zile risasi ni wenza wake..
Kutokuwa imara kwa chama tawala kusiwafanye vyama vingine kutokuwa imara.Bila kusahau chama tawala hovyo!!! Ccm ingekuwa imara na chadema,cuf na act zingekuwa imara
Kiranga ni wewe au mtu anatumia account yako..!?Kuombea mtu afe, hata gaidi, ni jambo baya.
Ni jambo ambalo kwa kanuni ndogo tu za utu siwezi kulitetea.
Ila, tujiulize. Inakuwaje mpaka rais aliyeanza urais kwa kupendwa na watu wengi sana akaja kuchukiwa mpaka kuombewa afe na watu wengi sana kwa njia ambayo si kawaida katika utamaduni wa Watanzania?
Tumekosea wapi au rais kakosea wapi?
Ni mtandoni tu tena wapumbavu wachache huku mtaani watu wengi walikua hawajui kinachoendelea.Sasa unanibishia mimi kitu nimesikia kabisa watu wakifurahia kuwa amekufa? Eti mitandaoni tu.
Hivi jamani huku kwetu huwa hatuna DOUBLES? Je, ni mimi peke yangu ninayehisi kuwa huyu jamaa aliyeapisha kuna features anazo zipo tofauti na mzee baba?[emoji848]
DuhYaani namjua toka akiwa chuo anachukuwa masters pale kabla hata ya ubunge nilikuwa mdogo lakini kuna uhusiano nitaishia hapo nisije kuhusika kwenye usalama.
Una tofauti gani sasa na hao mnaowaita majuha na wapumbavu kama ushauri wako kwa rais ndio huo?Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa