Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
Sawa wewe hujakubali,utafanya nini sasa?Wapi nimesema afe?
Unaandika una hakika ripoti ijayo itakuwa nzuri, umeiona?
Unaelewa hakika ni nini?
Rais anafanya rookie mistake unakubali tu?
Sawa wewe hujakubali,utafanya nini sasa?Wapi nimesema afe?
Unaandika una hakika ripoti ijayo itakuwa nzuri, umeiona?
Unaelewa hakika ni nini?
Rais anafanya rookie mistake unakubali tu?
Kweli aisee..watu wanasahau haraka.Kikwete alisomewa mpk Alubadili...
Hata kwenye hip hop hunielewi.Kwenye hip pop nakuelewa ila huku mhhh! Ngoja kwanza
Dahh,na wamefaulu vizuri with flying colors [emoji23]ulikuwa mbinu ya kuwasahaulisha watu juu sakata la kwa DPP
Acha unafiki wakijinga. Wewe si mtoto wa kike.Habari hizo ziko wapi mkuu?
Mimi nimeshafanya nililotakiwa kufanya kabla upuuzi huu haujafikia hapa.Sawa wewe hujakubali,utafanya nini sasa?
Mtoto wa kike kafanya nini na kwa nini unamnyanyapaa?Acha unafiki wakijinga. Wewe si mtoto wa kike.
Basi sawa, ngoja sisi tutimize wajibu wetu tukiwa hukuhuku Tanzania,tutafika tu...........kwamba nasisi tuje huko marekani? Hiyo marekani imejengwa na wamarekani.Tanzania itajengwa na watanzania.unajivunia kukimbia changamoto?Mimi nimeshafanya nililotakiwa kufanya kabla upuuzi huu haujafikia hapa.
Niliona hiu ujinga unakuja tangu utawala wa Mkapa.
Nikapanda ndege na kuhamia Marekani.
Huko Tanzania kwa sasa nawaambia tu mkiendekeza ujinga huu wa kumuangalia mtu mmoja kama Mungumtu mtabaki kwenye ujinga, umasikini na maradhi milele.
Natimiza wajibu wangu kusema tu.
Mkikataa na kuendekeza ujinga mkabaki kwenye ujinga, umasikini na maradhi, ni shauri yenu.
Damu yenu haiwezi kuwa juu yangu. Mimi nitakuwa nishatimiza wajibu wangu wa kusema ninachoona.
Yawezekana😁Mi ndo Kigogo?
Wapi nimekwambia uje Marekani?Basi sawa, ngoja sisi tutimize wajibu wetu tukiwa hukuhuku Tanzania,tutafika tu...........kwamba nasisi tuje huko marekani? Hiyo marekani imejengwa na wamarekani.Tanzania itajengwa na watanzania.unajivunia kukimbia changamoto?
Nyani wewe ni aina ya tumbili au kima kabisa
Ungekuwa na wewe sio juha, ungetoa uzi wako mapema kabla ya jiwe kujitokeza leo.Kwa siku kadhaa sasa kuna watu [majuha] kupitia hii mitandao ya kueneza na kujazana ujinga na ujuha walikuwa wameshupaza shingo na kupaza sauti zao kutoa na kueneza uongo, uzushi, na pumba zao kuwa Rais ni mgonjwa, mara amekufa, sijui kapelekwa wapi huko kwenda kutibiwa, na kadhalika.
Wengine wakaja na upumbavu wao kuwa sijui kafanyiwa mambo ya kichawi huko Ruangwa. Wakaja na video inayoonyesha moshi kwenye sehemu aliyokuwa amesimama Rais wakati anahutubia. Wengine wakasema kwenye video hiyo wameona mwanga ambao hawana uhakika ni wa nini! Hata kama ni mwanga wa jua, eti hawakujua ni wa nini.
Just stupid beyond belief.
Nadhani sasa huo upumbavu wao umemalizwa na Rais mwenyewe. Nampongeza kwa yeye kuendelea kubaki njia kuu [taking the high road] na kufanya kazi zake.
Hao majuha wanaomwombea mabaya sasa sijui watakuja na tukio gani jingine!?!! Tusubiri tuone...
Ila nimestaajabu sana. Hivi hata kama mtu hukubaliani naye kisiasa na kiitikadi ndo umwombee mabaya ya kiwango cha kifo??
Kweli kabisa?? Yaani mtu unajitoa fahamu kabisa na kumwombea kiongozi wa nchi kifo??
Kifo hakina mwenyewe. Madhila maishani hayana mwenyewe.
Nyie mlokuwa mmeshupaa kuombea na kufurahia mmenufaikaje sasa?
Magufuli akifa leo hii wewe kama liuso lako lilikuwa na chunusi kama tunda la fenesi, hizo chunusi zitatoweka?
Bure kabisa.
Hii mitandao ya kijamii imetengeneza tabaka la majuha na mapunguwani kwa kiwango kikubwa sana hadi inatisha.
Ooh eti Kigogo kasema...[sasa hivi naona wametoka kwa ‘Da Mange kasema’ na wamehamia kwa Kigogo [emoji1787]].
Wengine wanasema kuwa eti sijui Magufuli ajitafakari, ajifunze, n.k.
Ha! Ajifunze nini? Ajitafakari nini?
Kwendeni zenu huko.
Jitazameni nyie wenyewe kwanza kabla hamjaanza kuwahubiria wengine.
Mliokuwa mnashabikia madhila dhidi yake ndo mna la kujifunza na kujitafakari......
Wenu Ngabu aka Outlaw Immortal [emoji1548][emoji1617]
Ungekuwa na wewe sio juha, ungetoa uzi wako mapema kabla ya jiwe kujitokeza leo.
Kwenda zako !!! Umejigawa mwenyewe!!Wewe ndio bure kabisa.
1. Ile video yenye moshi niya kweli ila haikuwa na madhara yoyote.
2. Kuhusu kuumwa ni kweli , alipata mshtuko kidogo wa tatizo lake la moyo japo kusema alipelekwa south au ujerumani ni uongo.
3. Kuhusu kufa ni uongo mkubwa..
Binafsi nomejifunza mengi kuhusu hizi siku tatu
1. Mheahimiwa anahitaji ulinzi wa hali ya juu sana maana karibia 1/3 ya wana mitandao wameonyesha rangi zao kamili kwamba wangefurahi sana kama angekufa.
2. Muhusika mwenyewe kama atapata nafasi ya kuona kilicho endelea mitandaoni basi ajitahimini na kubadili gia.
Awamu ya 5 imetugawa sana watanzania.