Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Aisee hebu achemi ujinga watanzania...

Kuna test ilikua inaendeshwa mitandaoni na results zishapatikana

Hafu hiyo picha ya mama samia ni ya mwaka 2017 ... Hebu zoom vizuri

Hebu jaribu kutumia akili

Tafuta ugali wa watoto wako mle mlale

Mambo ya siasa achana nayo kwa sasa
Na nafikiri anayewindwa ni nani anapeleka habari za serikali kwa vibaraka wa mitandaoni..

Nafikiri mpaka sasa kuna asilimia zaidi ya 90 huyo mshenzi Kigogo tayari yupo kwenye rada na ashajulikana..
 
Ina maana kabla ya kupigwa risasi alikuwa havai kabisa raba mtoni? Hakuwahi kabisa kuvaa raba mtoni kabla?

..kabla Tundu Lissu hajapigwa risasi sikuwahi kukusoma ukimkejeli kwa kuvaa raba mtoni.

..kwa kweli sielewi unachoshangaa ni nini.

..unashangaa kuwa kuna watu wanamuombea mabaya Jpm, au unashangaa ubaya wa hayo anayoombewa?

..mbona hukushangaa Katibu Mkuu wa ccm msomi wa PhD akidai Tundu Lissu anadeka?

..mbona hukushangaa Naibu Waziri Waitara alipodai bungeni kuwa Lissu alistahili kutangulizwa, na Spika, Chief Whip, na Waziri Mkuu hawakuchukua hatua yoyote?
 
..kabla Tundu Lissu hajapigwa risasi sikuwahi kukusoma ukimkejeli kwa kuvaa raba mtoni.

Naona uliumia sana mimi kumkejeli Tundu Lissu!

Kwa taarifa yako, Lissu nimeshamkejeli kwa mengi tu, likiwemo la yeye mwenyewe kusema eti Steven Wasira alitakaga kumpiga!

Lakini kamwe, hata mara moja, sijawahi kufurahia kilichomtokea pale Dodoma.

Tafuta jingine.

..kwa kweli sielewi unachoshangaa ni nini.

Siyo lazima uelewe. Na kama huelewi unaruhusiwa kuruka au kupita kimya kimya.

..unashangaa kuwa kuna watu wanamuombea mabaya Jpm, au unashangaa ubaya wa hayo anayoombewa?

Mabaya, madhila, na mengineyo ya aina hiyo, hayana mwenyewe.

Nitakuombeaje wewe kifo kikutokee ilhali nami nitakufa, nipende nisipende?

Haiingii akilini.

..mbona hukushangaa Katibu Mkuu wa ccm msomi wa PhD akidai Tundu Lissu anadeka?

Umejuaje sikushangaa? Nilikwambia hivyo? Au unasadiki tu?

..mbona hukushangaa Naibu Waziri Waitara alipodai bungeni kuwa Lissu alistahili kutangulizwa, na Spika, Chief Whip, na Waziri Mkuu hawakuchukua hatua yoyote?

Tena, umejuaje sikushangaa?
 
Naona uliumia sana mimi kumkejeli Tundu Lissu!

Kwa taarifa yako, Lissu nimeshamkejeli kwa mengi tu, likiwemo la yeye mwenyewe kusema eti Steven Wasira alitakaga kumpiga!

Lakini kamwe, hata mara moja, sijawahi kufurahia kilichomtokea pale Dodoma.

Tafuta jingine.

..nilikushangaa.

..ungemkejeli mara moja ungeeleweka labda umefanya kwa bahati mbaya.

..ndiyo maana inakuwa rahisi kukufananisha na wanaofurahia TL kupigwa risasi, au wanaoombea Jpm apatwe na majanga.
 
..nilikushangaa.

..ungemkejeli mara moja ungeeleweka labda umefanya kwa bahati mbaya.

..ndiyo maana inakuwa rahisi kukufananisha na wanaofurahia TL kupigwa risasi, au wanaoombea Jpm apatwe na majanga.

Mimi sijawahi kufurahia Tundu Lissu kupigwa risasi.

Usinizulie mambo, tafadhali.
 
wanaJF eti leo wote wako na Magufuli..unafiki utatuua watanzania
Hawajui hata wanachokitaka hawa watanganyika!

Nakubaliana na Nyani Ngabu kwa 100% kuwa hii mitandao imetengeneza tabaka kubwa la wajinga!

Lakini huenda pia mitandao "haijalitengeneza" hilo tabaka. Mitandao "imelifunua" hilo tabaka.

Mitandao imeakisi ni kwa namna gani kiwango cha ujinga kimetamalaki!

Wengine hata kuandika hawajui lakini nao wamo tu wanang'ang'ana na habari za ngono na kueneza udaku na upumbafu!
 
Hawajui hata wanachokitaka hawa watanganyika!

Nakubaliana na Nyani Ngabu kuwa hii mitandao imetengeneza tabaka Kubwa la wajinga!

Lakini huenda pia mitandao "haijalitengeneza" hilo tabaka. Mitandao "imelifunua" hilo tabaka.

Mitandao imeakisi ni namna gani kiwango cha ujinga kimetamalaki!

Wengine hata kuandika hawajui lakini nao wamo tu wanang'ang'ana na habari za ngono na kueneza udaku na upumbafu!

Yawezekana hii mitandao imefanya yote hayo mawili: imetengeneza [inatengeneza] na pia kufunua.
 
..sasa kama hukufurahia kwanini umekuwa ukimkejeli kwa kuvaa "raba mtoni" baada ya kuumizwa miguu kwa risasi?

Hivi ni nini kibaya nilichokisema kuhusu hizo raba mtoni zake?

Hebu niwekee nukuu hapa.

Pia acha kunizulia. Sijawahi kufurahia hayo unayodai.
 
Hivi ni nini kibaya nilichokisema kuhusu hizo raba mtoni zake?

Hebu niwekee nukuu hapa.

Pia acha kunizulia. Sijawahi kufurahia hayo unayodai.

..kibaya ni kumcheka na kumkejeli kwa kuvaa raba mtoni baada ya kuumizwa miguu kwa risasi.
 
..kibaya ni kumcheka na kumkejeli kwa kuvaa raba mtoni baada ya kuumizwa miguu lwa risasi.

Kwa hiyo anavaa raba mtoni kwa sababu ya kuumizwa mguu? Hiyo ndo sababu ya yeye kuvaa raba mtoni?

Huko zamani hakuwahi kuvaa raba mtoni?

Mokasini nazo anavaa?
 
Kwa hiyo anavaa raba mtoni kwa sababu ya kuumizwa mguu? Hiyo ndo sababu ya yeye kuvaa raba mtoni?

Huko zamani hakuwahi kuvaa raba mtoni?

Mokasini nazo anavaa?


..ulifanya kwa bahati mbaya au ulidhamiria kumcheka na kumkejeli?
 
Back
Top Bottom