leo tunampiga shelfield United 3-0Duuuu

Kwa upangaji mbovu wa kikosi wa huyu mhindi kazi ipoleo tunampiga shelfield United 3-0
Mwanaharamu hata umtie kwenye chupa atatoa kidole nje tu,jibu maswali yalishajibiwa jana!Kwa kumwangalia Rais Magufuli machoni jana, ni wazi alikutana na msukosuko kiafya, na Siyo msukosuko mdogo..
Kuna tweet hapa ya Waziri wake Ummy Mwalimu inathibitisha hilo, ni wazi walikuwa wakisali afungue macho...tushukuru Mungu amesaidia Na pengine Sasa Rais wetu atabadilika katika style yake ya Uongozi kwa sababu ni wazi anachukiza Watu wengi.
Lakini pia Rais tunamjua Si Mtu wa kuhutubia kwa dk.5 Na kwa upole wa hali ya juu alioonekana nao jana..
Kama mwungana nashauri tu apate Muda wa kupumzika apiganie afya yake, vinginevyo Zile kejeli zake Na Watu wake kwa Lowassa kwamba Alikuwa akihutubia kwa dk.5 tu itahamia kwake mwaka 2020
Tweet ya Ummy Mwalimu hii hapa:
View attachment 1239763
Lakin nyie watu hua mkoje yani unamlazimasha mtu anaumwa nyie vp lakin nyie hao hao ndio mlimzushia kifo baada ya kumuona buheri wa afya mmekuja na jingine hebu tulizeni mshono mkamuliweKwa kumwangalia Rais Magufuli machoni jana, ni wazi alikutana na msukosuko kiafya, na Siyo msukosuko mdogo..
Kuna tweet hapa ya Waziri wake Ummy Mwalimu inathibitisha hilo, ni wazi walikuwa wakisali afungue macho...tushukuru Mungu amesaidia Na pengine Sasa Rais wetu atabadilika katika style yake ya Uongozi kwa sababu ni wazi anachukiza Watu wengi.
Lakini pia Rais tunamjua Si Mtu wa kuhutubia kwa dk.5 Na kwa upole wa hali ya juu alioonekana nao jana..
Kama mwungana nashauri tu apate Muda wa kupumzika apiganie afya yake, vinginevyo Zile kejeli zake Na Watu wake kwa Lowassa kwamba Alikuwa akihutubia kwa dk.5 tu itahamia kwake mwaka 2020
Tweet ya Ummy Mwalimu hii hapa:
View attachment 1239763
Sio Rais tu, binadamu yeyote baada ya mishemishe na kwa kipindi fulsni lazima kufanyiwa checkup, Sembuse JPM aliyezunguka nchi nzima. Hata hivyo hiyo haihalalishi kuzushia mtu kifo.Ushauri murwa kabisa, ukimuangalia tu rais sio yule Wa siku zote.Ila jambo lililowazi baadhi ya watu walipotosha sana kuhusu hali ya rais kuliko uhalisia wake.Ni kweli rais anahitaji mapumziko Na checkup zaidi ya afya yake, hasa kuelekea mikikimikiki ya 2020, vinginevyo yaleyale ya lowasa.
kujimwambafayJana nilishangaa anaongea kwa upole sana tofauti na siku zote ambapo hua anafoka na kutumia nguvu.
Jana nilishangaa anaongea kwa upole sana tofauti na siku zote ambapo hua anafoka na kutumia nguvu.
Usiogope tunashindaKwa upangaji mbovu wa kikosi wa huyu mhindi kazi ipo
Kwa kumwangalia Rais Magufuli machoni jana, ni wazi alikutana na msukosuko kiafya, na Siyo msukosuko mdogo..
Kuna tweet hapa ya Waziri wake Ummy Mwalimu inathibitisha hilo, ni wazi walikuwa wakisali afungue macho...tushukuru Mungu amesaidia Na pengine Sasa Rais wetu atabadilika katika style yake ya Uongozi kwa sababu ni wazi anachukiza Watu wengi.
Lakini pia Rais tunamjua Si Mtu wa kuhutubia kwa dk.5 Na kwa upole wa hali ya juu alioonekana nao jana..
Kama mwungana nashauri tu apate Muda wa kupumzika apiganie afya yake, vinginevyo Zile kejeli zake Na Watu wake kwa Lowassa kwamba Alikuwa akihutubia kwa dk.5 tu itahamia kwake mwaka 2020
Tweet ya Ummy Mwalimu hii hapa:
View attachment 1239763
Naona mmeanzisha sintofahamu nyingine eehhh....!!??
Hiyo no mboga yake