Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

nimeangalia vizuri picha za jana za JPM .... nikarudia tena ... huyu MTU afya yake imepata awalakini ghafla .... mark my words .... ninaongelea Kwa mazuri
 
mnarekebisha ujinga mlioutangaza na kuusherehekea?
JPM ongeza mwendo...
hata ukifa utakufa na heshima ya kitaifa.
Kwa kumwangalia Rais Magufuli machoni jana, ni wazi alikutana na msukosuko kiafya, na Siyo msukosuko mdogo..

Kuna tweet hapa ya Waziri wake Ummy Mwalimu inathibitisha hilo, ni wazi walikuwa wakisali afungue macho...tushukuru Mungu amesaidia Na pengine Sasa Rais wetu atabadilika katika style yake ya Uongozi kwa sababu ni wazi anachukiza Watu wengi.

Lakini pia Rais tunamjua Si Mtu wa kuhutubia kwa dk.5 Na kwa upole wa hali ya juu alioonekana nao jana..

Kama mwungana nashauri tu apate Muda wa kupumzika apiganie afya yake, vinginevyo Zile kejeli zake Na Watu wake kwa Lowassa kwamba Alikuwa akihutubia kwa dk.5 tu itahamia kwake mwaka 2020

Tweet ya Ummy Mwalimu hii hapa:
View attachment 1239763
 
Mathias kateuliwa Jana Leo kuapishwa kuwa balozi, wapi na wapi? Mbona Kipilimba bado?
Kuna nyakati za kuhoji, nyakati za kusikiliza, nyakati za subira na nyakati za kukubaliana na uhalisia. Matamanio yanaweza kumpeleka mtu kwenye kuhoji wakati inatakiwa kukubali uhalisia.
 
Dah ...hata wewe mzee ...anyway tunazidi kuwajua vizuri
Unazidi kutujuwa ili ufanyeje? Chunguza hiyo comment yako vyema uone jinsi ambavyo huwachukulii wengine kama ni watanzania wenye haki ya kupinga mawazo yenu. Nyie wapambe ndo mnamwaribia zaidi. Mko radhi kupasua Taifa. Mbona wengine walijenga nchi upinzani ukiwa unafunction na hakuna assasinations na utekaji? We mzee vipi?!
 
Una exaggerate mambo...waliofurahia wachache sana...labda hicho kitaa ulikopita wewe...huku nilipo mimi jana kuna mtu kasikitika hadi kafunga biashara...huwezi ukapendwa na watu wote
Inategemea na sababu za kuchukiwa wacha kuficha kichwa kwenye mchanga kama mbuni. Kuna watanzania wameuwawa, wengine kutekwa na wengine kuponea, nyie business as usual. Haya ya kina Lissu na Ben Saanane, kwa wengine kuna waliosikitika zaidi ya kufunga maduka.

Ama kweli mkuki kwa nguruwe...kuna familia zinaumia na wananchi wewe unazungumzia kufunga maduka?!!
 
Back
Top Bottom