Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
..nazungumzia alipovaa viatu ulivyoviita "raba mtoni."
Nimekuuliza mara kadhaa sasa.....Lissu kabla ya kupigwa risasi alikuwa hana raba mtoni?
Jibu swali.
..nazungumzia alipovaa viatu ulivyoviita "raba mtoni."
Nimekuuliza mara kadhaa sasa.....Lissu kabla ya kupigwa risasi alikuwa hana raba mtoni?
Jibu swali.
..na mimi nimekuuliza ulidhamiria au ulifanya kwa bahati mbaya?
..je, uliwahi kumcheka na kumkejeli kwa kuvaa viatu unavyoviita "raba mtoni" kabla hajapigwa risasi na kutembea kwa msaada wa magongo?
Nilidhamiria.
Nimemkejeli kwa mengi tu. Hivyo sikumbuki.
..OK.
..umemkejeli kwa mambo mengi.
..kuna wakati ulitakiwa upooze, na haswa wakati TL alipokuwa akijiuguza.
..na ukizingatia tatizo lililompata ni vizuri ukawa sensitive zaidi ya ulivyozoea kabla hajashambuliwa.
Akioneka mnitag!
Hakuna hata mara moja nilipomkejeli wakati akiwa hospitalini hajiwezi.
Ni pale alipoanza kelele zake tena, baada ya afya yake kuimarika huko Ubelgiji, ndipo nilipoanza tena kumkejeli maana hapo alikuwa ni ‘fair game’.
Yeye mwenyewe alianza kwa kuandika barua kutoka wodini, spitalini alipokuwa kalazwa. Unaikumbuka hiyo barua?
Baada ya hapo, kama ilivyokuwa kawaida yake, akaanza tena kumshambulia Rais Magufuli.
Kwa yeye [Lissu] kufanya hivyo, ilikuwa ni ishara kuwa sasa yupo tayari kurudi tena ulingoni.
Kama hutaki akosolewe, akejeliwe, na kadhalika, mwambie akae kimya.
Lakini kwa kadri atavyopiga kelele zake, naye ataendelea kuwa ‘fair game’.
Hivyo ndivyo ilivyo na hivyo ndivyo itavyokua.
Watu gani,,mbona hujamnukuu vizuri?Watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Usishambulie Mitandao, Huoni kama kuna chuki imepandwa na sasa inaota na imeanza kutoa matunda? Hivi hujui kuwa kutokana na hiyo chuki iliyopandwa iwapo jamaa angekata moto kweli wapo watu wangefanya tafrija ya kushangilia? Sasa unashangiliaje tukio ambalo wengine linawaliza kama Sio chuki?Hawajui hata wanachokitaka hawa watanganyika!
Nakubaliana na Nyani Ngabu kwa 100% kuwa hii mitandao imetengeneza tabaka kubwa la wajinga!
Lakini huenda pia mitandao "haijalitengeneza" hilo tabaka. Mitandao "imelifunua" hilo tabaka.
Mitandao imeakisi ni kwa namna gani kiwango cha ujinga kimetamalaki!
Wengine hata kuandika hawajui lakini nao wamo tu wanang'ang'ana na habari za ngono na kueneza udaku na upumbafu!
Hawajui hata wanachokitaka hawa watanganyika!
Nakubaliana na Nyani Ngabu kwa 100% kuwa hii mitandao imetengeneza tabaka kubwa la wajinga!
Lakini huenda pia mitandao "haijalitengeneza" hilo tabaka. Mitandao "imelifunua" hilo tabaka.
Mitandao imeakisi ni kwa namna gani kiwango cha ujinga kimetamalaki!
Wengine hata kuandika hawajui lakini nao wamo tu wanang'ang'ana na habari za ngono na kueneza udaku na upumbafu!
..nadhani huna msimamo ktk hili.
..upande mmoja unataka kuwa na wenzako wanaofurahia na kumkejeli TL kwa kushambuliwa.
..wakati huohuo unageuka na ukijidai ni muungwana na umechukizwa na unyama na ukatili aliofanyiwa.
Ulipitwa na nini?Naona nilipitwa.. roho mbaya ipi/zipi?
Mbona hata lissu alivypigwa kuna watanzania wengi huko vijijini walifurahi sana, walifanya party, wananchi wa pembezoni mwa migodi ya Barrick walipiga vigelegele
Simoni PetroNaona watu wakikana maneno yao, msaliti wa kwanza Zitto kabwe amejishtukia tayari....
Acha uzushi. Acha kulazimisha.
Sijawahi kufurahia Lissu kushambuliwa.
Sijawahi kumkejeli Lissu kwa kushambuliwa.
Kama nimewahi, weka nukuu hapa.
Hata Mimi kwa hili amenishangaza sana.Nilimuelewa msimamo wake wa kutokubali uongozi huu, ila hii ya kushangilia 'kifo' cha kiongozi wa nchi kusema ukweli ameniacha na maswali mengi sana
..umesema ULIDHAMIRIA kumkejeli.
..na ulimkejeli TL kuwa anavaa " raba mtoni " wakati akijiuguza miguu, na akitembea kwa msaada wa magongo, kutokana na kushambuliwa kwa risasi.
..sasa sijui unaweza vipi kumkejeli ktk mazingira yale, bila kuwa unafurahia na kuchekelea unyama aliofanyiwa.
..silazimishi, ila wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya.
Mwalimu Nyerere alijitahidi mno kwenye suala la elimu, alisomesha wengi enzi za UPE.Kigogo ni bwege sana saa hizi amebadili kauli na kuandika "atakufa tu"baada ya kuhakikisha kuwa uzushi wake wa kienyeji hauna maana.
Wameanza kujenga mantiki za upumbavu kuhoji he Makamu wa Rais alijigawaje kwenye kikao Zanzibar na kwenye uapisho? idiot always seeks stupid reasons.