Ikulu: Rais Samia akutana na mkurugenzi wa Global Fund bwana Peter Sands

Ikulu: Rais Samia akutana na mkurugenzi wa Global Fund bwana Peter Sands

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
ikulu_mawasiliano~p~CiKU4JKNSbH~1.jpg

Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.

1662467486274.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.​
 
Kukutana ni Vema na Haki....

Any chance ya kujua walichokutania ?, Tena kwa Marefu na Mapana ili tujue kama tunapata funds na hizo funds zinapelekwa wapi ili tuone value for money
 
😂😂😂

Sina Kuchangia zaidi ya kufurahi tu.

Mama anaupiga mwingi.
 
Naona leo mmesahau kuandika kuwa amekutana na kufanya mazungumzo.
 
😂😂😂

Sina Kuchangia zaidi ya kufurahi tu.

Mama anaupiga mwingi.

About the Global Fund​

Twenty years ago, AIDS, tuberculosis (TB) and malaria seemed unbeatable. In 2002, in an act of extraordinary global solidarity and leadership, the world came together to create the Global Fund to fight what were then the deadliest pandemics confronting humanity.

Over the 20 years that followed, the Global Fund partnership has invested more than US$55 billion, saving 44 million lives and reducing the combined death rate from the three diseases by more than half in the countries where we invest.

Our Mission​

The Global Fund is a worldwide movement to defeat HIV, TB and malaria and ensure a healthier, safer, more equitable future for all. We raise and invest US$4 billion a year to fight the deadliest infectious diseases, challenge the injustice that fuels them and strengthen health systems in more than 100 countries. We unite world leaders, communities, civil society, health workers and the private sector to find out what works and take it to scale – so the world makes more progress, more rapidly.

To achieve the greatest impact against the deadliest infectious diseases, we challenge power dynamics to ensure affected communities have an equal voice in the fight and an equal chance at a healthy future. By working together, we are getting close to achieving the goals the world once deemed impossible – ending HIV, TB and malaria as public health threats.
 
View attachment 2347548
Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.

View attachment 2347714
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.​
Korona imesha, hakuna barakoa, zero distance imekiukwa, kushikana mikono tupu kumbe enzi hizo ilikuwa maigizo? Tanzania ina safari ndefu sana kujinusuru kutokana na kuishi maisha ya kimateka kutoka kwa watu maalum
 
View attachment 2347548
Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake.

View attachment 2347714
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.​
Tanzania ni salama na Samia kazi inaendelea
 
Hapo Tanzania inapewa mkopo mwengine na sisi wananchi tutaongezewa tozo za kurejesha hayo madeni ambayo hayaendi kwenye miradi bali yanaishia miukoni mwa wachache
acha mawazo ya ajabu tozo ni kwa maendeleo ya taifa letu
 
Hapo Tanzania inapewa mkopo mwengine na sisi wananchi tutaongezewa tozo za kurejesha hayo madeni ambayo hayaendi kwenye miradi bali yanaishia miukoni mwa wachache
tumebaki kuwa omba omba kama matonya pamoja na matozo yao.jana nimeona kwenye taarifa ya habari tunakopeshwa tilioni 2 na kanchi fulani hivi ni aibu nchi kubwa kama hii kuwa omba omba tunazidiwa hata na majirani zetu.
 
Back
Top Bottom