Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Mbona wapo waliokuwa na kifafa na wakadumu katika nafasi zao bila shida na hakuna aliyewahi kuwanyanyapaa. Maneno ya mtu kama Lusinde ni bora kuyachunguza sana kabla ya kuyafanya nukuu kwani yanaweza kuwa na damage upande wake bila yeye kujua

Bora hata ya lusinde anasema ukweli mbona Lisu anaongea uongo wa kutunga kabisa lakini hujauona.
 
Ni bahati nzuri kuwa uongozi hautegemei miguu na mapafu bali utimamu wa akili na uwezo wa kupambanua mambo na kufanya maamuzi sahihi. Kama ingekuwa kukimbia ndiyo kigezo sidhani kama katika wote walioko madarakani kama kuna ambaye angestahili kukaa kwenye nafasi yoyote ile, haswa kwa sababu wengi wao ni wagonjwa. Kwa hiyo kama utaliangalia hilo kwa mapana stahiki ni wazi aliyelizungumza amekurupuka tu, ni mropokaji wa kawaida au ana uelewa mdogo wa kuchanganua mambo hasa kutokana na uwezo wake wa kufikiri na kufanya upembuzi yakinifu. Kwa hiyo ningeshauri kauli kama hizo ZIPUUZWE TU.

Pia siyo vizuri kulifumbia macho tatizo la uongozi wa sasa ambapo nchi ina-colapse kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Mifano ichukuliwe kwenye elimu na sera yake, Uchumi wetu na hali ya sarafu ya taifa, hali ya vipato vya wananchi na bei za bidhaa! hii ni sawa na kusema hata hao mnaofikiri wako sawa kuongoza wamefeli.

Wamefeli labda ni kwa sababu pamoja na uwezo wao wa kukimbia "marathon nyingi" lakini wana afya dhaifu za roho na nafsi kiasi cha kuangalia anguko la taifa huku wakijitia hawajali na haiwaumi. Au ni kwa sababu wana maradhi ya kushindwa kutoa maamuzi yenye tija kwa ustawi wa taifa. Au pengine ni kwa sababu nchi yetu imejulikana sana kama shamba la bibi na kumekuwa hakuna nia ya dhati ya kukomesha uzembe, wizi na kukosekana kwa uadilifu miongoni mwa viongozi na wananchi kwa ujumla!

Vyovyote vile kila anayeangalia hali ilivyo, kama na yeye siyo mgojwa wa akili au mvivu wa kufikiri, ni wazi ataona kuwa kwa tulipofikia, ili Tanzania inayokalika iendelee kuwepo hakuna jinsi zaidi ya kubadilisha uongozi tulionao. Na msiniambie ---- ya Upinzani hauwezi kwa sababu wananchi wanastahili ustawi regardless ni nani ameusababisha.
 
zikianzishwa mbio kati ya kinana,maalim seif na pàdri slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro.
Wafuasi wa Zitto ni wadini. Zitto anafurahia kujengwa na propaganda za kidini tu.

Hilo liko wazi kabisa.

Sala na Mbowe wanapingwa kwa propaganda za kidini tu!
 
NYIE NDO AMJAELEWA ILO NI DONGO KWA EDWARD LOWASA. KILA MTU ANAMFAHAMU. . UYU LUSINDE KIBAJAJi NI TEAM MEMBE

Acha uongo mkuu lusinde alimtaja mzee slaa bila hata ya kutafuna maneno.
 
Bora tuchague Rais Mzee ili muda wake ukiisha akalee wajukuu kuliko kumchagua Rais kijana na muda wake ukiisha atataka kujiongezea mda huku akijiona bado ni kijana.

Haya ya Burundi na DRC yasije kwetu kabisa
 
miniliona kama lusinde anampa promo dr slaa,mara kasema kwanini hamtaki pr lipumba mnang'anga'nia dr tu agombee. Kama kachoka sindio vizuri kwa ccm kelele zote za nini.wewe utachukia je unapopewa kibonde kwenye mashindano?
 
Bora tuchague Rais Mzee ili muda wake ukiisha akalee wajukuu kuliko kumchagua Rais kijana na muda wake ukiisha atataka kujiongezea mda huku akijiona bado ni kijana.
raisi kijana noma. atahakikisha anavunja rekodi ya kwenda kila nchi iliyoko huku duniani kwa gharama za hazina!
 

Tumeongozwa na wagonjwa kwa miaka kumi..............Nukuu Lowassa............Ina maana kibajaji alikuwa hajui hili?
 
Bora hata ya lusinde anasema ukweli mbona Lisu anaongea uongo wa kutunga kabisa lakini hujauona.

Kama waweza kumsikiza.Lusinde.basi.huna.tofauti naye
 
mbona tumeongozwa na maraisi wagonjwa hamkusema
.jk- tezi dume
.mkapa-kiuno
Slaa anaumwa nini?
 
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki

...Jibu lile la wewe kugongwa na Dr. Umeambiwa tangu akugonge na kukutema umebaki unalialia tu mtandaoni. siku nyingine jifunze kusema "No" Mtafute Kibonde akushauri.
 
Milembe na kipazaa sauti wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…